Mtoto wa mwenye nyumba anataka nifukuzwe, nitaenda wapi?

kibori nangai

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
1,066
1,315
Habari zenu wanajamvi,

Naomba niende moja kwa moja kwenye mada mwezi wa kumi mwaka huu niliamishiwa kikazi mkoani Manyara Babati mjini.

Nilihangaika kutafuta makazi nikafanikiwa lakini sasa mtoto wa mwenye nyumba ni mzuri balaa nimevumila mwezi mzima uvumilivu ukanishinda nikaona nimuombe namba ya simu akanipa.

Sasa jana nimemuita chumbani kwangu akaja nilichanganyikiwa sana nahisi leo hii lazima nipate papuchi yake hata iweje.

Nisaidieni niweze kutoka katika jambo hili wakuu
 
Tukusaidie nini mkuu au ndo mara ya kwanza kuonja papuchii??
 
Sasa kama unaogopa kuchambua papuchi kwanini uliomba namba ya simu...?
Ulitaka uwee una msalimia tuu sio...?
Kwanini Jana ulimuita chumbani...?
Ulitaka aone kitanda chako tuu sio...?
Acha, ushamba piga mashine mtoto huyo unatuaibisha wanaume wenzio hapa jukwaani.

"Unaanzisha Vita ya mawe ilihali unaishi nyumba ya vioo, shenzi kabisa"
 
umesema ushachanganyikiwa humu hatutoi ushauri kwa machizi
nenda milembe kwanza
 
23164899_304126976745884_6478169176228757504_n.jpg
 
Huu msimu wa jf siuelewi kabisa...
Mafuriko ya new members na vitu vya ajabu ajabu.
Au ndio after paper???!!!
 
Huyu siyo mwanaume wala kavulana

Sijui ni kinani hiki

Kama siyo shooo......
Sijui
 
Back
Top Bottom