Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

najua wengi wenu hamuwez kumpata mpez mpaka mgaramie wengi wenu kwa Mara ya kwanza mkikutana na mdada mnajionyesha ni jinsi ngani mnauwezo wa kifedha. list hii chini ni vitu ambavyo nakufunda...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Ilikuwa ni jumapili tulivu sana nilipoamua niende zangu maktaba kusoma na kurifresh my mind. Mule maktaba...
2 Reactions
57 Replies
6K Views
Katika uzoefu wangu katika mahusiano nimengudua siri 6 ambazo kamwe so rahisi kukwambia nitazitaja tu bila kuzitolea ufafanuzi; 1.Idadi ya wapenzi wake wa zamani 2.Anakulinganisha na mpenzi wake...
13 Reactions
63 Replies
15K Views
Ndege ya Qatar Airways ambayo ilikuwa ikitokea Doha kuelekea Indonesia ililazimika kutua kwa dharura India usiku wa manane kufuatia abiria mmoja mwanamke kuanza kumpiga mumewe akimtuhumu kumsaliti...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari, Ninawapongeza wanaume wote mlioweza kutimiza ya Mungu ya kuzalisha mwanamke kila mlipofanya mapenzi. Ni kushirikiana kuwa tumetimiza trati ya "nendeni mkazae na kuijaza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Jana kuna jambo LA ajabu limenitokea, ningependa nishirikiane nanyi nipate mawazo. Nilipiga viombo kidogo Jana nikapitiliza usingizi mzito ambao iliisha SAA 7 usiku...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari zenu, Najua kuna vijana huku, kuna baba na mama zetu, jamani ili familia iwe bora zaid na kuishi kwa amani kwakweli inapendeza sana ikawa karibu na Mungu. Mzazi ndio msingi wa familia...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndiyo wewe si umeolewa kwasababu una uwezo wa kudeki nyumba nzima, huombi hela, huvai mawigi, ukifokewa unakaa kimya tu hujibu, kama ni mjasiriamali ama mfanyakazi za ofisini mapato ama mshahara...
11 Reactions
169 Replies
14K Views
Wakuu swala la mapenzi kwa kizazi cha sasa imekua giza nene mno. Juzi nilienda mitaa flani ya mwenge kumtembelea ndugu yangu kwake. Lakini mtu hakunyimi maneno anakunyima pesa akanidokeza ndugu...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari za majukumu, wazawa na wasio wazawa, Naomba kuuliza hivi, kwanini wanawake wengi warembo ni empty minded/hopeless? Yaani pumba, hasa ukiwasikiliza katika maongezi yao, hawaongei mambo ya...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Hizi ni sifa halisi za mwanamke wa kweli 1. Ni nguvu ya mwanaume 2. Ni jasiri 3. Mchapakazi 4. Mwenye kujiamini 5. Tegemeo la familia 6. Mwalimu wa watoto na familia yake kiujumla 7. Mlinzi wa...
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kaniacha na mawazo hadi najihisi mdogo kabisa
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Inasemekana kwamba ukiwa unafanya mapenzi / unabaiolojiana na Mwanamke yoyote yule halafu pale unapomaliza mshindo wako / unapiga bao lako la Kichuya au Ajib halafu ukaona Yule Mwanamke...
10 Reactions
92 Replies
12K Views
Habari zenu nyote, Haya mwisho wa mwaka ndo huo unawadia asie na mwana aeleke jiwe. Asikudanganye mtu watu wanalalamika tuu ooh pesa hakuna Magu kabana uchumi waapiii nenda sehemu za starehe ndo...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Habar za weekend wana jf Tushirikishane hapa faida za kushiriki tendo la ndoa kubwa ikiwa ni kuwezesha kupata watoto 1.Huondoa msongo wa mawazo 2.Huongeza presha ya damu 3.Huimarisha mahusiano...
8 Reactions
34 Replies
8K Views
Naombeni ushauri wenu wadau nifanyeje hapa nilipo nipo mafichoni Inshu iko ivi,. Hapa jirani yetu kuna wapangaji wamehamia miezi miwili iliyopita ni mwanaume na mwanamke bado vijana hata mtoto...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Hivi wale mabinti wanaosema hawafikirii kuolewa kwa muda huo wakidai bado wanakula ujana. Ni kweli wanakuwa hawajaamua au hawajapata wa kuwaoa?
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Katika UTAFITI USIO RASMI, na kutokana na ninayoona yanatokea, kwangu na kwa wengine wengi, pale inapokuja kutofautiana katika mahusiano, wanawake wembamba imeonesha wengi wao (IKUMBUKWE SIO WOTE)...
6 Reactions
29 Replies
7K Views
Kwa utafiti wangu binafsi nilioufanya wa kubonga na wake za watu wapatao 10,wote bila hata usumbufu wa hapa na pale,walikubali kunipa mzigo ingawa sikuwachimbua.Hali hiyo ni tofauti kabisa kwa...
1 Reactions
46 Replies
6K Views
Back
Top Bottom