Swali kwa wanawake ambao hawajaolewa pamoja na wazazi wenye watoto wa kike

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Kwa wanawake swali lenu ni hili, je utakubali kuolewa na kijana ambaye umepata taarifa za KWELI kwamba alishaua mwanamke mwenzio kwa ajili ya wivu wa kimapenzi na ameshakaa jela ila kwa figusu za hapa na pale ameachiwa

Kwa wazazi, je mtoto wenu wa kike ndo anamleta huyo kijana kwenu anataka kuolewa naye ..mtamkubalia ama kuwakubalia ukizingatia mnajua kwamba huyo kijana alishafanya mauaji ya kutisha kwa mwanamke aliekua tu mpenzi wake.
 
Kigugumizi
 
Kama Mungu ameandika hiyo ndoa iwepo basi itakuwepo tu hata kama wanadamu tukichambua kasoro na tabia za huyo kijana
Ni kisa cha kweli...kwa wazaz ni jambo gumu sana sio rahisi kama unavyofikiri
wazaz wa huyo binti wamepanik, mdada inavoonesha ndie amependa na ameshaambiwa kwamba jamaa aliua tena kwa upanga
 
Ni kisa cha kweli...kwa wazaz ni jambo gumu sana sio rahisi kama unavyofikiri
wazaz wa huyo binti wamepanik, mdada inavoonesha ndie amependa na ameshaambiwa kwamba jamaa aliua tena kwa upanga
Ndio maana nimesema hivi PAT08221 kama ni mpango wa Mungu waoane, wazazi watapinga lakini mwishowe wawili hao watakuwa mwili mmoja.
 
Kama mzazi ntahakikisha nimetumia ufikiri wote nilionao kumweleza namna mauaji aliyofanya mpenzi wake yatakavyokua tatizo sio kwake tu bali kwa kizazi chake chote. Ila asiponielewa sina budi kumwacha afanye anavyotaka, ili kuepusha madhara mengine kujitokeza (wengine hawachelewagi kunywa sumu au kujinyonga).

Hili jambo ni gumu sana kulitafutia ufumbuzi likikutokea.
 
mtoto wa kike akipenda humwambii kitu, hata awe ni IZRAEL mtoa roho,ye anaenda, na ndugu mkimkataa anajitegesha tu anam bebea mimba basi... kama huamini unaambiwa yule mnyongaji wa pale dodoma anapendwa vibaya mno
 
Back
Top Bottom