queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 429
Juzi nilienda kupima ukimwi katika mazungumzo na daktari aliweza kunielewesha namna michubuko inavyotokea na kupelekea maambukizi na sababu ambazo huwezi kukwepa kupata maambukizi ambazo ni pamoja na kutembea na mtu mwenye uume mkubwa.
Hivyo basi nimeona nishee na wenzangu nimeona tujikumbushe hili gonjwa hatari la ukimwi wengi tumejisahau kuwa umeisha na kudhani kwamba ni wakati wa kujiachia na kuelekezana kila kukicha namna ya kumridhisha mwanaume pasipokuangalia athari zilizopo kuhusu hili gonjwa nimeona wenzangu wengi wanazungumzia namna ya kuzama chumvini au kutaka wanaume wenye maumbile makubwa leo ntapenda ktoa somo juu ya umuhimu wa wanaume wenye vibamia
1. Ukitembea na mtu mwenye kibamia uwezekano wa kupata ukimwi ni asilimia 30 kuliko mwenye maumbile makubwa maana lazima akuchubue
2. Kibamia hakitanui mwili utaonekana hujatanuka miaka yote
3. Mapenzi sio adhabu ya kuumia kama umepakwa pilipili
Hivyo basi nilikuwa natoa rai kwa wenzangu kabla hujaanza kujiingiza mazima ni vema basi ukaingalia afya ya mwenzako kwanza kuliko ukaingia kuiga ughaibuni na kuishia kujutia
Najua kuna kuupata kwa bahati mbaya lakini ni muhimu ukiupata kujitunza na kujikubali pasipo kupata maambukizi mapya ambayo yatakupelekea kwenye mateso makali kuliko ukitulia.
Mimi natamani kama kungekuwa na opereshi za kupunguza uume basi wanaume wangeweza kufanyiwa ili kuweza kupunguza maambukizi