Kwanini msichana humuamini mpenzi wake siku ya kwanza tu baada ya kupima HIV

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Hutokea mara nyingi msichana kumuamini mpenzi wake baada ya kupima HIV basi badala ya kuzingatia kuwa mpenzi wake au mke anaweza akatoka nje na kufanya ngono zembe na mwingine mwenye maradhi, maana wakishapima basi miaka yote watakapokuwa wote wataendelea kufanya mapenzi bila kinga na hawatapanga kuwa wanapima mara kwa mara. Kwanini kuaminiana sana kiivyo mkijua sio ndoa. Walau kwa wanandoa huwa wanaonyana na kuheshimiana sana na wana uoga flani hivi hata hivyo bado kuna kuchunguzana miendendo kwa ukaribu sana tofauti na wapenzi maana wao anaweza akakujibu kuwa wewe hujamuoa au hajakuoa.
 
Mkiaminiwa taabu, msipoaminiwa pia taabu!! Mnataka nini?

Sasa hapo kosa la nani? Aloamini au anayeaminiwa wakati haaminiki?
 
kwanini uamini sana kiasi hicho huna reservation kuwa jamaa anaweza akachota huko akauleta huku
 
Back
Top Bottom