Wanaume Maskini wao hudhani mwanamke anataka muhogo tu basi maisha yote


GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,464
Likes
8,922
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,464 8,922 280
hii tabia wamekuwa nayo baadhi ya wanaume wenzangu na hasa tuvulana. twenyewe tunajisifu tu kuwa tuna mihogo mikubwa au tukipandisha bendera masaa 12 kushusha.... mnadhan mwanamke ndo kitu pekee tu anachotaka?

hasa wa mikoani. hawapo lovely, sweet na romantic... wao wanaamini kufanya mapenzi ni vita... hivyo ni kama wanasubiri tu filimbi ilie waanze mashambulizi. hii si sawa jaman..mnawaumiza sana dada zangu. nami nipo hapa kuwatetea. masuala ya kuwapakia unga wa kongo,viagra na hayo mafundu findu mengine kisa nini? na hapo utakuwa umempa 10,000 lakini atailipa kwa maumivu makubwa sana mpaka ajute?

hii si sawa. dada zetu hawa warembo wanahitaji kupetiwa petiwa...kubembelezwa, kuenziwa, kunaniiiliwa.... hapo hata unapo mmega sema sema maneno matamu. siyo unatoka jasho tu na kumfanyisha ligwaride. na zile style zenu za siku hizi umemkanyaga kichwani huku juu umeshikilia kiuno chake au umemwigiza kichwa chake chini ya uvungu unasugua kama unataka kuwake moto...hapana huko si kufanya mapenzi. ni kumpa adhabu. kama alikutukana sawa mpe hiyo adhabu lakin kama mtoto wa watu ana tabia njema tu... usimfanyie hivyo mpaka ajute?

na ndo maana wadada wengi siku hizi wameamua wawe wanatoka na vikongwe.. wanasema vile vinapiga bao moja halafu love stories nyingi na kuwadekeza. vijana wa kimaskini anapiga show za kibabe.. game utadhan haji kupata tena. na hiyo ndo maana yake. maana mtu anaona kama ni bahati hivyo anataka aitumie ipasavyo. utafikiri kaikimbizia mwaka mzima. yalishawah kunikuta dem nimemkimbizia mwaka mzima ananizungusha tu.siku akaamua kunipa aiseee... akauliza ina maana nlikuwa nimeweka bank ili siku akijichanganya tu ninanii...

anyway baada ya hapo ilibidi nianze kucheza game za kistaarabu siyo kila siku soka uruguay chapa buti. siku nyingine unatandaza samba...unagonga pass kibao na chenga kabla ya kufunga. Zile show za kusema "aje kwangu mi nina muhogo mkubwa" kakwambia yeye ni mkaanga mihogo? unamlisha limwogo likavu anabaki tu kugugumia kwa maumivu huku amekodoa macho kama anataka kufa. halafu unajisifu hapa we mwanaume.... msiwatese wadada wazuri hayo mambo kawafanyie wale mang'amung'amu.

TAHADHARI: "MKAMIA MAJI HANYWI"
 
Architectus

Architectus

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2017
Messages
3,555
Likes
3,476
Points
280
Architectus

Architectus

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2017
3,555 3,476 280
Nmeiosoma tHread Nikitaraji Kuona Mahali unawashauri Vijana watafte Pesa Maana wanawake nao Huhitaji Matunzo Lakini wapiiii..........Mtoa Mada Asubuhi asubuhi unawaza Ngono tu!
 
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
5,710
Likes
8,968
Points
280
Age
22
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
5,710 8,968 280
Hatutaki ushauri wako.
 
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Messages
5,710
Likes
8,968
Points
280
Age
22
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2016
5,710 8,968 280
Hatutaki ushauri wako.
 
Nathalie Herrera

Nathalie Herrera

Senior Member
Joined
Oct 23, 2017
Messages
103
Likes
111
Points
60
Nathalie Herrera

Nathalie Herrera

Senior Member
Joined Oct 23, 2017
103 111 60
Hahahaa waambiee muhogo bila kachumbari na chachandu haujanoga bado
 
tremendous

tremendous

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2016
Messages
2,575
Likes
4,328
Points
280
tremendous

tremendous

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2016
2,575 4,328 280
Kweli kabisa.
 

Forum statistics

Threads 1,213,233
Members 462,001
Posts 28,470,732