Qassim14
Senior Member
- Oct 10, 2017
- 182
- 203
Je ni kweli ukiwa na mtu anasoma chuo na wewe hausomi chuo?
Kuna hatari yoyote ya mahusiano hayo kutodumu?
Je akiwa anasoma chuo nje ya nchi na wewe husomi chuo kabisa kuna hatari ya mahusiano kufa?
Ufafanuzi kwa waliobobea katika shughuli kama hizo yaani mwenye experience na hali hizi na ushahidi ukiwepo itapendeza sana.
Nawasilisha