WAKATI KWA WADADA INAWEZA KUWA VIGUMU KUPATA MUOAJI KWA WAVULANA INAWEZA KUWA VIGUMU KUJUA AMUOE NANI AMUACHE NANI. JE KAMA HUYU NI KAKA YAKO AU NDUGU YAKO UNAYEMPENDA SANA UNGEPENDEKEZA AOE MDADA YUPI KATI YA A na B.
UMRI
Wote A ana 24 lakini A kaficha, anadai ana miaka 23. Mdada B ana 26 lakini anadai ana 25 ila mvulana anajua umri halisi wao wote. Kapotezea kwa sababu umri siyo kigezo chake cha mhimu sana. Mkaka ana miaka 25, mwakani 26.
ELIMU
A anasoma education (Arts) Dodoma, mwaka wa 3. Mdada B alisoma mapema kidogo mwaka 2012 alimaliza form six akachaguliwa pharmacy bahati mbaya alidisco first year, akaacha mambo ya shule, akaanzisha brand yake ya vipodozi na urembo, kama bahati inafanya vizuri, imempa mafanikio, anaishi Dar. B ana akili sana ya maisha kuliko A.
Mkaka amehitimu bachelor yake ya ukunga anafanya interniship Mhimbili.
FAMILY BACKGROUND
Almost A na B wote wana familia zinazojiweza kiuchumi na zina connection kubwa. Mdada A ni kabila moja na mkaka, kabila dogo lisilo maarufu la huko kanda ya ziwa. Mdada B ni mchnganyiko mnyaturu na mchaga. Mkaka anatokea familia ya kawaida kuliko wadada wote wawili.
TABIA
Wote wana heshima. Wanavaa kawaida. A hapendi kuweka mambo yake wazi sana kwa mkaka lakini hana skendo mkaka anayoifahamu, mdada B ameweka mambo yake wazi almost mkaka hajaona sikendo ya msingi. Wote hawana tabia za kupenda pesa na hawana tamaa za kijinga.
MUONEKANO.
Mdada A ana rangi ya chokoleti, si mzuri sana wa sura, ila ana umbo ambalo wanaume wengi wa sasa wanapenda mwili umejaa ila si sana, hips 40+ na kalio. B ni mzuri wa sura, mweupe, umbo la kwaida simwembamba si mnene, mrefu kidogo kuliko A.
KIUCHUMI
Mdada A bado yupo chuo na hana mradi mkaka anaoujua, anategemea wazazi completely, hamuombi pesa mkaka, wala mahitaji. Mdada B anajitegemea, ana miradi yake, ameshaanza kujenga, hivi karibuni alitaka kununua gari mkaka akamshauri angoje kwanza. Mdada B yuko vizuri kiasi mkaka huwa nahisi atakuwa kama ameolewa, kama vile atakuwa analelewa, na hili linamuumiza kichwa kweli. Mkaka hana mradi, anategemea pesa ya intern kwa sasa, ila ana mawazo mazuri sana ya kiujasiliamli na ana vipesa vichache alitunza.
UPENDO.
A anaonyesha upendo kiasi sana, aliwahi kuonyesha upendo wa juu sana kwa mkaka ila ukapotea ghafla. B anaonyesha upendo mkubwa sana, anaonyesha sana kumhitaji jamaa.
Mkaka anampenda sana A, yupo tayari kuwa na A bila kujali chochote, anamuwaza tu A na anampa kipaumbele kuliko mwanamke yeyote na ameacha wengi kwa ajili ya mdada A. Upendo alionao kwa B ni mdogo, na ni kwa juhudi tu za mdada, na huruma kwa sababu ya upendo anaoonyesha mdada, mdada amekataa wanaume wengi kwa ajili yake. Mkaka alianza kuwa na A lakini alimpa nafasi mdada B wakati A alipozingua.
WADADA KUJUANA
Mkaka hajawahi kumwambia A kuhusu B ILA alishamwambia B kuhusu A japo alimwambia waliachana jumla, umebaki urafiki wa mbali sana kabisa.
DINI
Wote watatu ni wakiristo. A anaonyesha kushikilia dini sana, anasali sana na anaamua mambo mengi kwa kuzingatia dini na matendo ya mtu ya kiimani. Anaamini sana ushauri wa kanisani kuliko ushauri wowote. B hajashikilia dini sana na amekuwa akisistiza kuwa kanisani ni sehemu mhimu kuburudika na kutengeza ujamaa na watu basi hakuna jingine la maana.
Ila mkaka mambo ya dini kama hayumo kabisa, anamaliza 2 years hajaenda kanisani.
NDOA.
Mkaka yupo tayari kuoa anytime. Wadada wote wanapenda kuolewa kwa ndoa na harusi. A hajawa tayari kuolewa kwa sasa, na anadai hajui lini atakuwa tayri. B yupo tayari waoane mapema iwezekanavyo, ameahidi kuchangia mahali, na harusi. Mdada B anataka waanze kuishi naye sasa hivi wakiwa wanafanya mipango ya ndoa.
TOA USHAURI WAKO. NAMFORWADIA COMMENT KAMA ZILIVYO. INABIDI AAMUE SASA, HAKUNA MUDA WA KUSUBIRI.