Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari.!?. Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu. Niende katika mada. Kwa sasa ni muda sasa sina mwenza na sihitaji ili nipate fursa ya kufanya mambo yangu ya kimaisha vizuri...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Je unaweza kuhonga nchi/urais kwa mtoto mzuri kisa papuchi kama Mugabe alivyotaka kufanya.? Is it worth it? Vp unaweza kuhonga kisa mkia? Au unaweza kuhonga kisa mauno? Wengine hata mtoto awe...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Wewe Mwanaume haujawai hata kufumaniwa, mpenzi wako hajawai kukuta meseji za kimapenzi za wanawake wengine, hujawai kumchit mpenzi wako akajua, hajawai kuskia skendo yako yoyote ile ya kimapenzi...
0 Reactions
7 Replies
941 Views
Utakuja Mjomba yako Ana watoto wa kike wazuri tu alafu anakubania full kukutabulisha hawa ni mabinamu zako!dini zote zimeruhusu kumuoa binamu yako sasa ningeomba tu wajomba zetu msifanye zoezi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana jamvini, Niende moja kwa moja kwenye hoja kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi nimekaa na shemeji yangu toka yupo sekondari, amemaliza sekondari kamaliza chuo na ni...
19 Reactions
185 Replies
19K Views
Mapenzi yakikolea bwana, jambo lolote huweza toka kwaa sehemu yoyote... Basi me katika kurupushani na mwanadada mmoja mkaliii ambae kaolewa na Don, kila nikitaka mzigo anachomoa kuja gheto...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi amani iwe nanyi. Ndugu zangu kesho nakwea pipa kurudi nyumbani Tanzânia kwa wiki mbili zumuni lá safári yangu nakuja kufungua kampuni. Ndugu zangu mkumbuke Mimi nipo masomoni...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Salaaam, Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu komoja wapo nchini,Ndo nimeingia mwaka wa tatu msimu huu Sasa juzi tumeripoti chuoni tayari kwa muendelezo wa masomo 2017/18, Kwa kiasi fulani...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza. 4. Kamwe...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu sitaki niseme mengi lakini lakini kifupi mhhh mambo yameharibika swali hilo linauzito sana kwenye kichwa cha habari nahitaji ufafanuzi sahihi kifupi me ndo nimemtoa huyo binti kila kitu...
2 Reactions
76 Replies
24K Views
Wanajamii, husika na kichwa hapo juu, Kuna binti toka nifike chuo tumekua tukipendana sana na tukiwa na miadi na malengo ya kuoana mara tu tumalizapo masomo. Tumekuja kutofautiana kitu kimoja...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanabodi salaam, Mimi ni baba wa familia mwenye mke na watoto wawili.Tunaishi vizuri mimi na familia yangu; mimi nikiwa mfanyakazi ofisi zetu zikiwa Dar na mke wangu akifanyia kazi Morogoro. Hivi...
7 Reactions
64 Replies
6K Views
Nchi nyingi duniani zimepitisha na kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja na huenda nyingine hazijapitisha lakini ziko njiani au baadhi ya wananchi wake wanafanya hii michezo. Kwanza niseme huu ni...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Kuna wanaume wa Dar na wale wa Mikoani. Je hawa wa Zenji wanaangukia kundi gani?Je wao ni wa Dar au mikoani? Wanaume wa Zanzibar ni mahiri kwa kula urojo, ila wanaoa wake wengi sana na wanazaa...
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Awe mkristo awe na kazi halali kwa Mungu na jamii awe na akili timamu, awe mwelewa ugomvi sipendi, awe na umri kati ya miaka 32-38 Mimi ni mkristo ni mrefu umbo la kawaida na ni mweusi. Waume za...
11 Reactions
100 Replies
8K Views
Nampenda sana mke wangu ila cha ajabu haniamini kabisa mi nampenda. Ninamwambia kila siku vile nampenda hanielewi. Amekuwa akinifuatilia hadi ofisini. Na akifika hataki hata kuongea na secretary...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama mada inavyojieleza Kuwa na demu single mama yani aliezaa ni raha Hawa waliozaa wana nidhamu, sio wagumu kutoa papuchi yani ukimwambia tukutane mahali flani fasta anatimba. Hawa sio watu wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wana JF, Leo nimeona niwakumbushe wadada juu ya maisha ya kitapeli na uongo wanaoishi nao. Hivi majuzi niliwasili Jiji la Makonda katika utekelezaji wangu wa majukumu kituo change cha...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu nyote wanajukwaa poleni na majukumu kwa wenye majukumu,na tusio na majukumu tusikate tamaa siku moja tutatoka. Moja kwa moja niende kwenye Mada ni hivi, nina mpenzi kwa kweli nampenda...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu huwa mnachomoa vipi huu mtego? Japo mda mwingine nakuwa najua huyu mdada hana mtu ila sasa akisema nina mtu tu basi nashindwa hata kufungua mdomo.Yani ninabaki nimezubaa kama mwanaume wa...
6 Reactions
77 Replies
17K Views
Back
Top Bottom