Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hii inahusu wanaume tu, Jamani wanaume wenzangu. Ningependa kuwaonya juu ya hii tabia ya kuhonga ovyo. Si kila mwanamke ni wa kuhonga. Kuna wengine wanamikono ya nuksi au mikosi kama sio gundu...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Nimemtafuta sana simuoni. Nmejaribu kuzunguka kila jukwaa haonekani kabisa. Sina aman kabisa hebu kuja mama
2 Reactions
44 Replies
5K Views
Hello guys this coming December on 3rd I will be travelling to Far east for leisure, my choice is among these countries 1.Singapore the most attractive country in the world 2. Malayasia Kuala...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
ladies and gentlemen, iam not famous in such here in jf, naomba nichukue nafasi hii kuwakutanisha wana jf ambao mnahisiana chochote kile hapa jukwaani.. the following is the chart, just choose...
12 Reactions
331 Replies
17K Views
  • Closed
Habari za muda wanajamii forum Mkasa huu nilisimuliwa na rafiki yangu kipenzi John John ni kijana mwenye umri wa miaka 26 mhitimu wa chuo mwaka 2016 ngazi ya diploma ila mpaka sasa yupo mtaani...
2 Reactions
35 Replies
13K Views
Wadau ee Hivi inakuwaje kama mpenz wako ulimcheat akagundua lakini baada ya kupatana kila mkiwa mnaongea hata kwenye faragha anakumbushia makosa yako.. Tatizo ni nin? Utoto ama
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Ni Jumatano mchana, lunch time hours, nimekaa kwenye restaurant moja mjini nikila, ghafla kaingia kijana mtanashati sana, kapendeza haswa, ana jeans na viatu vya bei mbaya, ana bracelet ya...
21 Reactions
281 Replies
33K Views
Jamani ehe mpaka sasa sijui nifanyeje nina mpenzi wangu nampenda sana naye ananipenda lakini suala lipo kwenye mapenzi namuanda vizuri mpaka namwingia, nikisema namwingia nadhani nitakua naelewaka...
5 Reactions
237 Replies
27K Views
Leo katika zunguka zunguka zangu huko maeneo ya Magomeni, nimekutana na mada hii kwenye saluni moja ya kiume. Mambo makuu mawili usiyopaswa kumwambia mkeo:-- (1)Extra Money you Earn (Pesa ya...
2 Reactions
168 Replies
30K Views
Imezoeleka kuwa mtu akisikia kuhusu mithali 31 basi moja kwa moja anajua kuwa ujumbe huo unawahusu wanawake. Ni kweli kuwa mistari hii ni mahususi kwa ajili ya wanawake, ila pia ni ukweli...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Mi ninamchumba/mpenzi ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhani kama miezi kadhaa tu hivi haifiki 6 sasa huyu mwenzangu kama simuelewi hivi sijui nimaumbile, mazoea, hanipendi yaani...
6 Reactions
112 Replies
9K Views
Heshima kwenu Wakuu. Kabila Langu ni baadhi ya makabila ambayo tohara hufanyika baada ya wavulana kuwa Wakubwa sana. Tohara ni njia rasmi ya kumrasimisha mvulana kuwa Mwanaume kamili. Sasa...
4 Reactions
142 Replies
11K Views
Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila...
8 Reactions
78 Replies
12K Views
Wakuu mke mpaka umuoe maana yake ni uliyemkubali sana ,na kwa benchmark hiyo wakora ,mabarazuri na kila aina ya watoto wa mjini ni windo kwao ,tufanye anatongozwa mara 10 kwa mwezi na mmoja tu ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika vitu vinavyojenga ndoa imara, upendo ni mojawapo ya vitu hivyo. Upendo sio uwe baina ya wanandoa tu, bali hata kwa jamii inayokuzunguka. Upendo kwa wazazi wenu ninyi wanandoa ni muhimu...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika maadili yote, huu mwenendo mbaya hauwezi kukudhoofisha bali unatisha sana. Baada ya Mungu familia yako inapaswa kuwa kipaumbele. Rejea hii hadithi ya kweli: Jackson ni tajiri na anaishi...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
FAHAMU Huko nchini China kwenye baadhi ya maeneo ambayo wana utamaduni wa mwanaume kumbeba mke wake mgongoni na kupita kwenye makaa yenye moto wakiwa wanaingia ndani mara ya kwanza baada ya ndoa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimeona mara nyingi wanaume mnalalamika kuhusu sisi, ivi mnajua na nyie kuna mnavyo vinatukera. 1. Siku hizi kuna tabia mnayo ya kuvaa vikaptula vifupi vya rangi mf kijani, njano, blue au...
18 Reactions
173 Replies
22K Views
Naomba kujua kutoka kwa wakina dada, Hivi mwanaume akikutoa bikira unakuwa na mapenzi nae ya dhati au mnakuwa mnafikiria nini kutoka kwa huyo aliekufungulia njia?
1 Reactions
181 Replies
79K Views
Back
Top Bottom