Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni miaka kama 7 imepita toka huyu mdada aniache pasipo sababu ya kueleweka, nilikuta tu mtu kaanza kunichunia..miezi ikapita na hata nilipokuja kuonana naye, aliniambia wazi nitafute mtu mwingine...
8 Reactions
71 Replies
7K Views
Sio tu viwango vya mtindo na uzuri ambavyo wanawake wanaonekana kuwa na shida ya kuzingatia; viwango vya kitu ambacho ni asili na asili ya binadamu kwa bahati mbaya imeongezwa kwenye jamii ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam waungwana kwema humu? Kuna jambo siwezi acha kuwa hasa hasa wale mnao yatazama mausiano kama sehemu ya Kupata wenzi wa kudumu nao maana naona kumekuwa na fujo sana siku hizi. Last time...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Aisee wana jamvi,habari zenu za wk end? Bila shaka Wk end hii inakwenda vzr. Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu wakui nina demu niliyehudumu nae miaka mitatu hivi tukipeana mautamu...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Habari kwenu wana MMU. Kama utangulizi ulivyoanza,naombeni ushauri wenu katika masaibu yanayoendelea kunifanya nijione kichaaa. Wakuu mimi nimeoa yapata miaka 3 sasa ya ndoa ambayo tulifunga...
9 Reactions
181 Replies
18K Views
Na hawakuja tukutane hapa. Ukweli inauma saana hawa wasichana wa fb nilikutana na mdada mmoja tu Kawa marafiki mwisho tukabadirishana mawasiliano ya simu. Basi bana kuchat na nini mwisho...
11 Reactions
386 Replies
35K Views
Wakuu, Nimekuwa nikisikia sana swaala la kwamba mtu akitukana/ kupiga au akikataa kusaidia wazazi anaweza pata laana kama kufukuzwa kazi, kuwa kichaa au kufariki kabisa. Binafsi namfaham kijana...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wapendwa nimekuwa na ndoto ya kuoa mzungu jamani sasa sijui hawa wazungu wanavutiwa na vitu gani sana sana ili nifanikishe hili niweke toto la kizungu ndani sina lengo la kulelewa mimi...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Nimekaa nikatafakari, hivi binti anaanzaje kweli kunambia kua "ahh hadi ndoa", sijawai kukutana na hii kitu kwakweli sijui wengine. Nimebahatika kubikiri mabinti wawili maishani mwangu. Hata wao...
1 Reactions
89 Replies
9K Views
Imeelezwa kwamba mwanaume anaweza akachepuka na bado akawa na mapenzi na mkewe, lakini mwanamke akichepuka hawezi kumpenda mume wake tena. Unakubaliana na hii au unaipinga?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Utafiti usio rasmi unaonyesha kwamba 95% ya wanawake wanaowapangia wanaume zao siku za kufanya mapenzi ni kwakuwa huwa hawalifurahii ipasavyo tendo lile bali kiasi tu na yote hiyo ni sababu ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
USHAURI WANGU KWA WANAWAKE Siku zote mwanamke hawezi pata mwanaume aliye sahihi,,,.KWA SABABU... 1. Ukimpata handsome,,kichwa yake ni empty. 2. Ukimpata genius...yuko serious masaa 24 na wengi...
10 Reactions
33 Replies
4K Views
Yaani nimefanya kautafiti kangu ka kutosha na nimepata jibu asilimia 90 ni kwamba wake za watu wanagegedwa ovyo kuliko wanawake waliosingle. Mimi hapa kwa mfano ni ngumu sana kunigegeda, yaani ni...
27 Reactions
289 Replies
44K Views
Hapo mwanzoni ilinitesa sana, nilikuwa nikienda chini ya dakika 3 nishamaliza. Nilijaribu kwenda kwa wataalamu wengi sana. Lkn walio wengi waliishia kuniambia nile sana matunda pamoja na mboga za...
1 Reactions
189 Replies
32K Views
Kwanza kabisa nawapongeza kwa kusimamia heshima yenu ya kuwa mama, Ikiwa wengi wao wapo katika starehe lakini wewe unatumia muda wako mwingi Ukiwa na watoto, Umewaheshimu watoto wako huleti...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari, Katika kutembea tembea nimekutana na wanawake wengi, katika hao wote sikuwahi kukutana na bikra, yani wengine "hole diameter" zao zilikua kama kopo la "grand malt" nilikata tamaa ya...
12 Reactions
159 Replies
17K Views
.
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Habarini Wadau, Ni hivii...kuna wanawake wachokozi sana na vimaneno vyao...ambavyo wallah wabillah yanasababisha mwanaume rijali kudindisha pasipo kutegemea. Kuna wanawake/ madem wenye sauti...
5 Reactions
81 Replies
7K Views
Wasaalamu wakuu, Iko hivi kwa upande wa sisi wanaume wengi tunapobaini kuwa wapenzi wetu wanatusaliti, hutunisha misuli kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde wapenzi wetu au kuwafanyia mbaya...
9 Reactions
54 Replies
68K Views
Habari za majukumu ya siku nzima na poleni na ugumu wa uchungu wa maisha, Kama kichwa tajwa hpo juu naomba msaada juu ya mweza wangu ambae nimedumu nae mwaka wa tatu huu, tangu mwaka 2017 umeanza...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Back
Top Bottom