Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kiukweli nilijiandaa kichwan na majina mengi ya kike, sio kwamba sipendi wa kiume (HAPANA) ila majina mengi niliyonayo kichwani ni ya kike Naombeni wadau majina yenye maana nzuri ya kiume,sitaki...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Baada ya Uchunguzi nilioufanya kwenye miji mbali mbali hapa nchini yenye vyuo vikuu nimegundua kuwa wasichana walio wengi wa vyuo hivyo hujiuza ili waweze kupata namna ya kujikimu. Mwanza, Chuo...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Wakubwa za asubuhi, Miaka 3 iliyopita kipindi nipo kidato cha 3 mwezi 8 kwenye somo la baiolojia mada ya Reproduction niliulza kitu ambacho darasa zima walicheka. Niliuliza hivi mama mjamzito...
14 Reactions
122 Replies
12K Views
Leo katika pita pita zangu mtaani kama kawaida simba hakosi malisho si ndio nikamuona swala kanona ile mbaya kanawiri na kapendeza vibaya mzee simba akaanza kunyatia taratibu taratibu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari, Kuna mtu mmoja nilikuwa naongea nae, ni mtu mzima, anauwezo wake, nikiwa napiga nae story za hapa na pale. Katika kupiga kwetu story tulikujafikia kwenye maswala ya mahusiano. Yeye...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Weekend ndo hiyoooo inakwisha wandugu hvy tujitaahid bac tufanye yaliyo bora kwetu na kwa Muumba wetu sio mbaya kwa mweny kuamini ukaelekea pande za Diamond Jubilee Hall kupata neema za Mwenyez...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Nina msichana wangu mmoja tulianza nae mahusiano toka 2013, katika maisha ya mapenzi baina yetu kuna kipindi cha kati hapo tukagombana, ikabidi kila mmoja akaendelea na ishu zake...
1 Reactions
182 Replies
14K Views
Nimewahi kuwa na ndoa mbili kila moja kwa wakati wake, ambazo hazikufanikiwa tukaishia kuachana na hao kina mama. Kwa kweli nashuhudia skupata wasaidizi ila nilipata warembo tu wasio na utu, I was...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
JENGA tabia ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yako, liwe baya au jema. Wakati mwingine kuna mambo unakutana nayo kwa ajili ya kukukomaza, kukufunza au kukuweka karibu na Mungu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wanaume, wale ma bachela, Mpaka sasa siusomi usawa kwa kweli, hali mbaya, vyuma vimekaza. Nimemaliza chuo, ajira hamna mwaka sasa, Nimeanzisha vibiashara zaidi ya vitatu vyote vimekufa. Sasa...
11 Reactions
78 Replies
7K Views
Mm ni mdada nina miaka 29 naishi kanda ya ziwa. Ninatafuta mume.. Kwa imani kuwa mwenza anapatikana pole. Wasifu wangu: Mrefu shape ya wastani sio mnene wala mwembamba. Rangi maji ya kunde...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Basi watumishi wa umma mkiwa bado mnaendelea kufurahia ongezeko la mshahara,ningependa wananchi wenzangu mnishauri jambo moja hapa. kuna binti niko na mahusiano nae huu mwaka wa tatu sasa,alienda...
1 Reactions
44 Replies
4K Views
Hugh Heffner (play boy founder) Kabla hajafa alisema amelala na wanawake zaidi ya 2000 na ameoa Mara Tatu hakuweza Kuwa na soulmate.or True love .Je wewe umeolewa au umeoa soulmate au pressure ya...
2 Reactions
110 Replies
11K Views
Hakuna kitu kinachouma kama kusingiziwa kitu ambacho hujafanya. Iwe mwanaume au mwanamke kupewa tuhuma za kuwa na mahusiano na mtu ambaye huna mahusiano huwa jambo linaloumiza sana. Na wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazazi wangu walinikataza kuolewa na mtu wa dini tofauti. Mama yangu anasumbulliwa na tatizo la moyo, hivyo kwa uoga wa kumpoteza mama yangu nikakubali kuvunja mahusiano na mchumba wangu ila roho...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima kwenu mabibi na mabwana, Kwanza kabisa amani iwe nanyi popote mlipo, Siku ya J5 nalikuwa Chamwino, ktk pilika pilika zangu za hapa na pale nikakutana na Mwana mama mmoja hivi mpole...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Wadau ivi kwanini ukiwa huna hata mwanamke mmoja kuwapata inakuwa kazi ila ukiwa nae unakuta wengine wanamiminika mpaka unakimbia ?...sasa jaribu kuwapiga chini wote uone moto wake.... Alafu...
4 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari wandugu, hope mnaendelea vema na majukumu, Anayefahamu tabia/sifa za wanaume wa kinyamwezi naomba anijuze tafadhali. Asanteni.
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Nilikutana na madem wawili wanauza bidhaa flani, baada ya kununua zile bidhaa na kuvutiwa nazo nikamuomba dem mmoja namba ili nikihitaji hiyo bidhaa aniletee. Sasa nilipoomba namba kumbe wale...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari wakuu wa kike na wakuu wa kiume. Basi twende kwenye point, juzijuzi tu hapa nakutana na bidafada mkali sana maeneo ya town, nikaona isiwe kesi nikaanzisha maongezi mwishowe nikaomba namba...
4 Reactions
82 Replies
7K Views
Back
Top Bottom