Wanawake mnawachukuliaje wanaume waliowatoa bikira?


mwanahabari93

mwanahabari93

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
239
Likes
143
Points
60
mwanahabari93

mwanahabari93

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
239 143 60
Naomba kujua kutoka kwa wakina dada,

Hivi mwanaume akikutoa bikira unakuwa na mapenzi nae ya dhati au mnakuwa mnafikiria nini kutoka kwa huyo aliekufungulia njia?
 
kedrick

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Messages
4,294
Likes
2,928
Points
280
kedrick

kedrick

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2015
4,294 2,928 280
ngoja waje mie pia natafuta bikra nackia hawakusahau ukiwavuja
 
lin

lin

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Messages
7,198
Likes
4,276
Points
280
lin

lin

JF-Expert Member
Joined May 25, 2014
7,198 4,276 280
Makubwa
swali limenigeukia mimi

Wakati naanza nae mahusiano sikufikiria kama tungekuja kuachana, na tulivyoachana sikuamini kama tumeachana, na ilinichukua muda mrefu kumsahau, ila with time nilimsahau na hayupo tena kichwani mwangu
 

Forum statistics

Threads 1,239,121
Members 476,369
Posts 29,343,328