Hii tabia ya baadhi ya wanaume sio nzuri, badilikeni

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,774
Reaction score
126,716
Katika maadili yote, huu mwenendo mbaya hauwezi kukudhoofisha bali unatisha sana.

Baada ya Mungu familia yako inapaswa kuwa kipaumbele.

Rejea hii hadithi ya kweli:

Jackson ni tajiri na anaishi mjini, siku moja alimwambia mpenzi wake ambaye alimuahidi kumuoa twende nikupeleke kijijini nikakutambulishe kwa wazazi wangu.

Yule mpenzi wake alikubali na wakapanga siku ya kwenda kijiji ili akatambulishwe kwa wazazi wa mpenzi wake.

Japo Jackson ni tajiri lakini hakuweza kubadilisha Maisha ya wazazi wake japo kuwajengea nyumba nzuri ya kuishi.

Siku ya safari ilipofika Jackson na mpenzi walichukua gari lao na kuondoka kuelekea kijijini. Walifika salama na kupokelewa kwa furaha na wazazi wake.

Mpenzi wake Jackson aliagiza maji ya kunywa akaletewa na mama yake Jackson maji ambayo yalikuwa machafu maana huko kijijini hayapatikani maji masafi ya kunywa kutokana na mazingira yalivyo.

Huyo mpenzi wake Jackson, kwa upole alikataa kunywa hayo maji sababu ni machafu na badala yake akaenda kwenye gari lao na kuchukua maji kwenye chupa waliyokuwa nayo na akanywa.

Baadaye wakati wa mchana, alipotaka kujisaidia haja ndogo alikataa kutumia choo kwa sababu kilikuwa kichafu na badala yake akaamua kubana tu mkojo.

Wazazi wa Jackson walipogundua tabia alizozionesha mpenzi wake, wakawa wanasema huyu sio mwanake wa kuoa, tabia yake sio nzuri.

Lakini mpenzi wa Jackson alikuwa ni mzuri, mnyenyekevu, mwenye akili na muwajibikaji.

Alikatishwa tamaa na tabia ya Jackson mwenye utajiri kushindwa kubadilisha maisha ya wazazi wake japo kuwajengea nyumba nzuri ya kuishi. Akaamua kuvunja uhusiano na Jackson moja kwa moja.

Wanaume wengi hii tabia wanayo.

Unadiriki kumuhonga mpenzi wako pesa nyingi lakini unashindwa kumpa hata 900/= mzazi wako ambayo ingependeza zaidi....!!!!!
 
Wa kwako umeshawajengea Mkuu!?
 
Big brother.
Najua wengi wataguswa na Uzi wako. Lakini ukweli utabakia pale pale.

Unajua ndiyo maana hata tukipata mafanikio, tunaishia pabaya.
Unamkuta kijana kafanikiwa mjini kila kitu, lakini Mzazi wake bado analalia Kitanda cha tangu enzi za kumzaa(Mungu atusaidie)
Ndiyo maana hata baraka zetu hazidumu.
 
Hao wazazi wa Jacson wao walibadilisha vipi maisha ya wazazi wao?
 
Huyo mpenzi wa Jackson mshenz tu yeye amezaliwa mjini na alipoambiwa twende kijijini alifikiri atazikuta AC
 
Uyo mpenzi hafai, kwa iyo siku Jackson akifeli akarudi kwao kijijini uyo mpenzi wake awez kuishi naye, mbona wanawake wa siku izi amjielewi,..
 
Katika maadili yote, huu mwenendo mbaya hauwezi kukudhoofisha bali unatisha sana.

Baada ya Mungu familia yako inapaswa kuwa kipaumbele.

Rejea hii hadithi ya kweli:

Jackson ni tajiri na anaishi mjini, siku moja alimwambia mpenzi wake ambaye alimuahidi kumuoa twende nikupeleke kijijini nikakutambulishe kwa wazazi wangu.

Yule mpenzi wake alikubali na wakapanga siku ya kwenda kijiji ili akatambulishwe kwa wazazi wa mpenzi wake.

Japo Jackson ni tajiri lakini hakuweza kubadilisha Maisha ya wazazi wake japo kuwajengea nyumba nzuri ya kuishi.

Siku ya safari ilipofika Jackson na mpenzi walichukua gari lao na kuondoka kuelekea kijijini. Walifika salama na kupokelewa kwa furaha na wazazi wake.

Mpenzi wake Jackson aliagiza maji ya kunywa akaletewa na mama yake Jackson maji ambayo yalikuwa machafu maana huko kijijini hayapatikani maji masafi ya kunywa kutokana na mazingira yalivyo.

Huyo mpenzi wake Jackson, kwa upole alikataa kunywa hayo maji sababu ni machafu na badala yake akaenda kwenye gari lao na kuchukua maji kwenye chupa waliyokuwa nayo na akanywa.

Baadaye wakati wa mchana, alipotaka kujisaidia haja ndogo alikataa kutumia choo kwa sababu kilikuwa kichafu na badala yake akaamua kubana tu mkojo.

Wazazi wa Jackson walipogundua tabia alizozionesha mpenzi wake, wakawa wanasema huyu sio mwanake wa kuoa, tabia yake sio nzuri.

Lakini mpenzi wa Jackson alikuwa ni mzuri, mnyenyekevu, mwenye akili na muwajibikaji.

Alikatishwa tamaa na tabia ya Jackson mwenye utajiri kushindwa kubadilisha maisha ya wazazi wake japo kuwajengea nyumba nzuri ya kuishi. Akaamua kuvunja uhusiano na Jackson moja kwa moja.

Wanaume wengi hii tabia wanayo.

Unadiriki kumuhonga mpenzi wako pesa nyingi lakini unashindwa kumpa hata 900/= mzazi wako ambayo ingependeza zaidi....!!!!!
Sio wanaume tu hata wanawake nao wawasaidie wazaz kwhyo wazaz wenye watt wa kke tu hawawez kusaidiw na mtt wao
 
Mimi naweza kumlaumu huyo mwanamke wa Jackson sababu angekuwa mke mwema angemshauri mpenzi wake na angefanya juu chini kuleta mabadikiko.Ndio maana Mungu akamuita msaidizi.Tunapoolewa tunakuta mambo mengi pengine yasiyopendeza lakini taratibu kwa ushauri na kumwonyesha mume wako upendo unamshauri na anakusikiliza.Mwanamke mzuri hujitahidi ili kuleta mabadiliko mazuri
 
Big brother.
Najua wengi wataguswa na Uzi wako. Lakini ukweli utabakia pale pale.

Unajua ndiyo maana hata tukipata mafanikio, tunaishia pabaya.
Unamkuta kijana kafanikiwa mjini kila kitu, lakini Mzazi wake bado analalia Kitanda cha tangu enzi za kumzaa(Mungu atusaidie)
Ndiyo maana hata baraka zetu hazidumu.
Exactly
 
Ujumbe murua na umetufikia.Tumuombe MwenyeziMungu atuongoze kuyarekebisha mapungufu yetu.
 
Back
Top Bottom