Binafsi najiuliza hivi kuna mantiki gani kwa wanawake walioolewa kupost picha nzuri nzuri na tamu tamu mitandaoni? Tena unakuta page/akaunti yake ina picha zaidi ya 300 lakini hakuna hata moja...
Kwa wale Christian, Biblia inabainisha kuwa Mwenyezi Mungu huwa anaongea na binadamu pia kwa njia ya ndoto kama ilivyobainishwa katika vitabu vya Genesis 37:5-10, Matayo 2:12-22, Act 2:17, 1Kings...
Habari za hapa
Nimekua msomaji wa mda mrefu tu hapa jf (mmu) na leo nimeamua nielezee stori yangu ya mapenzi na bibi wa miaka 56.
Mimi ni kijana wa miaka 24,kwa muonekano wa nje ni...
AshaDii NAOMBA UJE PANDE HIZI TUTOE SHULE.
kina dada wengi tumekuwa wepesi wa kutoa lawama pale wenzi wetu wanapokuwa wanachepuka ili kutafuta ladha mpya.
Kwa kweli naomba niwaeleze wanawake...
Salaam wana MMU
Sijui niseme kanichoka
Sijui kaona mi baga sina hela
Sijui ananionaje huyu mwanamke
Mimi ni baba wa mtoto mmoja,na nimekua na huyu mzazi mwenzangu kwa almost 5 years...
As the pictures displays..... Kasinde in full mahaba with her dash dash.......
Kasie's vacation button has already been pressed, this time on a boat learning how to fish..... A tutor is my dash...
WanaJF katika hali ya kustaajabisha kaka yangu anayetegemea kuona mwezi August 2011 ameshindwa kuvumilia na amefikia uamuzi wa kuahirisha harusi kwa kumkuta mtarajiwa wake akiwa na KY JELLY...
Habar
Nashangaa sana mtu anaposema nataka mwanamke mzuri,mwenye elimu,Sijui masifa kedekede ambapo anasahau kwamba kila mtu amelelewa kivyake,kila mtu anatabia zake alizofunzwa kwao
Unawezaje...
Habari zenu wapendwa,
Nimekutana na mkaka ambaye tunafahamiana kitambo kidogo kiukweli amejaaliwa mali na ana upendo na mimi na yupo tayari kunioa tatizo sasa linakuja mimi ninachompendea...
Habari wanajamvi,
Natafuta marafiki aged 25 mpaka 30 kwaajili ya mitoko hasa siku za wikiend kwenda clubs mbalimbali au sehemu yeyote ya bata kama kula kunywa nakadhalika.
Nimekua na marafiki...
Salute MMU members
Mdada anatafuta dawa ya kutuliza Mestruation flow(hedhi) ili akapandishwe kilele cha Kibo na Mawenzi, hivi kuna siri gani huko juu?
Kwa nini usitafute Climbing gears,
Ama...
Sisimulii hadithi ya Ngoswe na mazoea ila hii riwaya ilikuwa na maana kubwa pia kuna mashairi kama siharakie Maisha lakini pengine tulisoma kwa nia kujibia mitihani na kuacha baada ya kupewa...
Ninawashangaa sana akina dada ambao umri unaenda halafu kila siku wanalalamika mtaani eti "wanaume waoaji hakuna". Mpaka wengine wanafikia hatua ya kuzalishwa watoto pasipo ndoa.
Mbona mimi nina...
Mtoto mdogo wa umri chini ya miaka mitatu (3) ambaye amekuwa addicted na simu janja (smart phone), akiiona ni kilio, anachotaka awekewe you tube aangalie katuni zake.
Anaweza tumia muda mrefu...
Kwa utamaduni wa kiafrika ni aibu kwa mwanamke kujinadi kuwa anataka bwana/mume mtandaoni.
Najaribu kujiuliza ni nini kinawafanya msitongozeke mitaani, maofisi, njiani, kwenye daladala, kanisani...
Habari Za humu ndugu zangu.
Zamani niliichukulia kitu ya kawaida lakini kadiri muda unavyoenda najaribu kufikiria hii ni nini?
Shangazi zangu karibu wote wamekuwa na hali hiyo kwanini?
Shangazi...
Wakubwa habari za usiku huu
Nimeamua kuachana na mke wangu rasmi leo hii tarehe 17 Nov 17 daa 22:59 siku ya ijumaa baada ya kumwona mke wangu anamaneno machafu na asiyekuwa mnyenyekevu
Kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.