Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

Mbunge Jesca Kishoa umekiuka Mila Za Kinyiramba

Kanyunyu

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
335
Reaction score
495
Mbunge wa viti Maalum kupitia Chadema Jesca Kishoa Kafulila amekiuka mila za kabila la wanyiramba Kwa kufanya utovu wa Nidhamu kujitokeza hadharani Kwenye TV na kumnanga mume wake David Kafulila.

Ni mwiko Kwa mila za Kinyiramba mtoto wa kike kujibizana na mume wako hadharani .Jesca ameenda Kwenye TV amekiuka mila na kosa hili mpaka afanyiwe Zindiko lá kondoo mweupe vinginevyo Ndoa yake itavunjika na hawezi kuolewa Tena maisha yake yote. Hiyo ni Laana amejipalia ama Kwa makusudi au kutojua au mhemko wa siasa.

Jesca Kishoa aliolewa na Kafulila wakati huo Kafulila akiwa NCCR MAGEUZI na Jesca Alikuwa ni CHADEMA. kwahiyo walioana wakiwa na itikadi tofauti.

Jesca nini kilichokupeleka Kwenye TV kushambulia mume wako? Wewe ni Msemaji wa Chadema taifa? Unatumwa na Wanasiasa kuharibu Ndoa yako? Kweli mwanamke mjinga huivunja Ndoa Kwa mikono yake mwenyewe.

Umekosea sana, umekiuka mila za Kinyiramba waziwazi, Njoo Kwa Wazee uombe radhi na Zindiko lá kondoo mweupe lifanyike haraka. Ukikataa kufuata Ushauri huu wa kimila Ndoa yako itavunjika na hutakaa uolewe maisha yako yote.

Songela Mbwanuwe!!!!!!
 
FB_IMG_1511502553648.jpg
 
Kitendo cha mke wa David Kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana. Jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.

Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia wanahabari. Huu ni usaliti mkubwa sana hasa kwa wanandoa.

Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hayo haiingii akilini hata siku moja.

Kama ningukua Kafulila hiyo ndio talaka yake mimi sina uvumilivu kiasi hicho. Najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
 
kitendo cha mke wa david kafulila kuita watu wa habari na kumkana mumewe hadharani kimenikwaza saaana.jana nimeangalia taarifa ya habari kupitia azam TV mwanamke akimkana mumewe hadharani kimenisikitisha saana.


Bila hata kukurupuka angekaa na mumewe kujadili kabla ya kwenda kutafuta umaarufu kupitia Wana habari.huu ni usaliti mkubwa sana hasa Kwa wanandoa.
Haiwezekani hata siku moja eti mke anasema hakushirikishwa katika maamuzi hiyo haiingii akilini hata siku moja.
Kama ningukua kafulila hiyo ndio talaka yake mi sina uvumilivu kiasi hicho.najua mtakuja na mapovu kibao lakini ndio msimamo wangu.
Futeni na hii thread yangu mana hapa jf nafikir Hua kunawatu maalum wa kuongea siasa.
Hapa umepotoka mkuu
Nadhani kwa vile bado upo kwa mama ukiingia kwenye ndoa utakuwa kujua
Mambo ya ndoa hayamuliwe kizembe zembe hivyo bila shaka ndoa itakushinda
 
Kwanza mumewe mwenyewe ni Tumbili kabisaa hata ukimuangalia usoni ana asili ya ukoo wa Tumbili. He drew First blood so let the lady breath! Mwacheni mwanamke atoe povu loote! and then we can start afresh.
 
Mke wa Kafulila halikuwa hana namna zaidi ya kumkana mumewe ili kutetea uanachama wake wa chadema kwa lengo la kulinda Ubunge wake.

Unadhani angefanya nini ili kujibu maswali yaliyopo kwenye vichwa vya watu wengi?

Ubunge wa viti maalumu vimemfanya mke amkane mumewe katika kundi la waandishi wa habari kama ulinzi wake wa kisiasa katika chama chake cha chadema
 
Mke wa Kafulila halikuwa hana namna zaidi ya kumkana mumewe ili kutetea uanachama wake wa chadema kwa lengo la kulinda Ubunge wake.

Unadhani angefanya nini ili kujibu maswali yaliyopo kwenye vichwa vya watu wengi?

Ubunge wa viti maalumu vimemfanya mke amkane mumewe katika kundi la waandishi wa habari kama ulinzi wake wa kisiasa katika chama chake cha chadema
Ah hapo nimekupata mkuu
 
Kafulila ndiye kavunja mila na desturi za kijana wa kiume wa kiafrika, ingekuwa vitani na yeyey ni kamanda wa kikosi cha kwanza kisha akaamua kurudi nyuma alistahili kupewa zawadi ya shaba! Anastahili kufanyiwa tambiko la kuchinjiwa tumbili tatu wazee ambao wote ni wajane!
 
Back
Top Bottom