Hili swali linaniumiza sana kichwa

Hili swali linaniumiza sana kichwa

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,038
Reaction score
2,190
Mi ninamchumba/mpenzi ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhani kama miezi kadhaa tu hivi haifiki 6 sasa huyu mwenzangu kama simuelewi hivi sijui nimaumbile, mazoea, hanipendi yaani sielewi.

Yaani kwake ningumi kuniita mpenzi, yaani majina tu ya kimapenzi ningumu akijitahidi sana ananiita MY ajabu sasa mkiwa kitandani tena awe amedindisha nitaitwa majina yote mpenzi, honey, mke hata neno nakupenda nitaitwa lakini katika hali ya kawaida ni ngumu kuniambia ananipenda au kanimiss mimi hua namwambia nakupenda na yeye ndio anajibu nakupenda pia.

Nilishakaa nikiongea nae kesho yake akajitahidi baada ya siku mbili akarudia tena kuniita ndugu yangu najiuliza swali labda mazoea au muoga au hana hisia na mimi???
 
Sawa mm nataka kujua huwa unafanya nn mpk adindishe ndio aanze kukuita majina yote matamu ya duniani

Cc😡nokia83
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom