Wanaume tuwemakini na aina ya wanawake wa kuhonga. Wengine wanagundu

Wanaume tuwemakini na aina ya wanawake wa kuhonga. Wengine wanagundu

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,693
Hii inahusu wanaume tu,

Jamani wanaume wenzangu. Ningependa kuwaonya juu ya hii tabia ya kuhonga ovyo. Si kila mwanamke ni wa kuhonga. Kuna wengine wanamikono ya nuksi au mikosi kama sio gundu.

Unapotaka kumuhonga mwanamke usiyefahamiana naye vizuri, ni vyema ujiridhishe kuwa ni msafi. Mimi na wewe si Mungu kuweza mjudge mwanamke flani kama hana gundu. Huu ndyio mtihani mkubwa sasa.

Sasa wewe honga hovyo at your own risk.
 
Imani potofu tu Mimi natoa hela ninavyo jisikia wala sihongi.
 
Hii inahusu Wanaume Tu.

Jamani wanaume wenzangu. Ningependa kuwaonya juu ya hii Tabia ya kuhonga ovyo. Si kila mwanamke ni wa kuhonga. Kuna wengine wanamikono ya nuksi au mikosi kama sio gundu.

Unapotaka kumuhonga mwanamke usiyefahamiana naye vizuri, ni vyema ujiridhishe kuwa ni msafi. Mimi na wewe si Mungu kuweza mjudge mwanamke flani kama hana gundu. Huu ndyo mtihna mkubwa sasa.

Sasa wewe honga hovyo at your Own risk.


Ni ujinga tu, we mwanamme unayejitambua utamuhongaje mwanamke? Mwanamke si mtoto wala kilema na hatakiwi kuhongwa hata siku moja.
 
VIGEZO VYA KUTOA PESA KWA MWANAMKE AMBAYE SIYO DADA YAKO AU MAMA YAKO:

1) Lazima awe mpenzi wako na asiwe mpenzi wa maneno yaani lazima uwe Na ukaribu naye wakutosha

Haya mambo ya tutaonana tu mara samahani naomba nitumie 10,000 au 20,000 unatoa utachukia wanawake bila sababu kwani ukiwaendekeza utatoa hizo wakati dada zako hata hela za chupi hawana, WAAMBIE SINA

2) Mwanamke wa kumpa PESA ni Yule ambaye ukimtaka unampata na wakati mwingine anakuwa na hamu ya kuwa na wewe na siyo yule aliyekupa kwa bahati mbaya hajarudi tena halafu unasumbuka kutuma hela itafika wakati utamtukana, MWAMBIE SINA USIUMIZE KICHWA

3) Umemtokea mtoto wa kike ameonyesha uelekeo lakini ubize haumuishi, MUACHE ABAKI KUWA rafiki ila PESA usitoe sababu mpo kama 50 hivi wote anacheza na akili zenu

4) Demu anayetakiwa kupewa PESA ni yule ambaye siku zote yupo hapo kwa ajili yako yaani hata kama ana wengine usijali na usitake kujua, ila ukimtaka unampata na wakati mwingine anakutafuta wewe BABY I MISS YOU, mpe pesa hata kama hajaomba

Mwanamke ambaye hawezi kukwambia bebi nina hamu na wewe na akauliza lini upo na muda nije na akaja

Mwanamke ambaye ukimuonyesha kuwa unamuhitaji Kwa maongezi sababu haziishi MFANYE AWE rafiki SABABU HAKUFAI HUYO yupo na wewe kwa sababu ya PESA na si kingine

NI SOMO RAHISI LISILO HITAJI HATA TWISHENI.
 
Inategemea unachohitaj kwake, kama papichi yake tamu atapewa tu mawe ata awe na gundu la mjusi
 
Mnahonga hovyo mpaka mnasahau mahitaji ya wake zenu anaomba kitu mwaka lakini huko nje duu kutoa tu
 
Wacha kuongopa hakuna mwanaume asiye honga huyo atakuwa kilema lijari lazima ahonge


Usipende kuropoka mkuu, siku zote mwanamme anayependa kuhonga wanawake si rijali hakika, mwanamme anayependa kuhonga LAZIMA atakuwa na hitilafu na hii kwa kawaida iko kwa wanaume wa Dar. Mwanamme anayejitambua hawezi honga mwanamke, jiulize unamuhonga mwanamke kwa msingi upi?
 
Usipende kuropoka mkuu, siku zote mwanamme anayependa kuhonga wanawake si rijali hakika, mwanamme anayependa kuhonga LAZIMA atakuwa na hitilafu na hii kwa kawaida iko kwa wanaume wa Dar. Mwanamme anayejitambua hawezi honga mwanamke, jiulize unamuhonga mwanamke kwa msingi upi?
Usiwe mnafiki hakuna mwanaume asiye honga hata uwe kijijini utahonga vinginevyo huyo demu hashawishiki usipende malumbano
 
utajiridhishaje kuwa huyu ana gundu au hana? mkuu mshana jnr njoo toa ufafanuzi huku!
 
Gundu Na Nuksi Ni Mitazamo Yako Uliyoijenga Kichwani
 
Back
Top Bottom