Uko wapi Christina Ibrahim?

Uko wapi Christina Ibrahim?

^^
Ha ha Mgiriki hii sasa sio infatuation bali true love.. Ngoja nikute naimba kale ka wimbo ka siku miaka ya early 2000
....
Ooo! Ooo! Ooo!
Uko wapi nikufuatee,
Niambie nipajuee,
Angalau nikuonee,
Roho yangu ituliee,
Najiuliza kila siku wapi pa kukupata,
Ni miaka mingi sana hatujaonana,
Napata shida sana,
Nataka kuwa nawe,
Ntakupataje pataje nawe huonekanii..
Ooo! Ooo!
Nipe barua pepe,
au simu ya mkononi,
au barua ya mkononi,
Uko wapi, niambieee
(by Ray C)
cc: christine ibrahim
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Ha ha Mgiriki hii sasa sio infatuation bali true love.. Ngoja nikute naimba kale ka wimbo ka siku miaka ya early 2000
....
Ooo! Ooo! Ooo!
Uko wapi nikufuatee,
Niambie nipajuee,
Angalau nikuonee,
Roho yangu ituliee,
Najiuliza kila siku wapi pa kukupata,
Ni miaka mingi sana hatujaonana,
Napata shida sana,
Nataka kuwa nawe,
Ntakupataje pataje nawe huonekanii..
Ooo! Ooo!
Nipe barua pepe,
au simu ya mkononi,
au barua ya mkononi,
Uko wapi, niambieee
(by Ray C)
cc: christine ibrahim
^^

hahahaaaaa! Wewe bwana umenichekesha sana. Lakin nashukur umenisaidia kufikisha kaujumbe
 
Last edited by a moderator:
MMU imegeuka Chit Chat? Ulimbukeni huu hadi lin??

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Back
Top Bottom