Yafahamu mahaba nigaragaze

Yafahamu mahaba nigaragaze

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,961
Reaction score
3,699
FAHAMU Huko nchini China kwenye baadhi ya maeneo ambayo wana utamaduni wa mwanaume kumbeba mke wake mgongoni na kupita kwenye makaa yenye moto wakiwa wanaingia ndani mara ya kwanza baada ya ndoa, ili kuexperience maumivu wanayopata wake zao wakati wa kujifungua.

Hii kwako imekaaje?
61184ecce6259e626949a0fa899622db.jpg
 
Kwahiyo Honeymoon inageuka kuuguza majeraha ya moto?
Pole yao wenye Tamaduni zao
 
Yaani muda wa kula raha ya ndoa eti mnaanza kuuguza vidonda. Akaaaa.

Ndio sababu tukaambiwa mwanaume watatafuta kwa jasho, tuoane baada ya hapo akazisake ili maisha yazidi kuimarika sasa kuanza kuunguzana hata haiji aisee.

Pole yao kama ni kweli yanafanyika.
 
This is gudi gudi.....dikteta uchwara ailete hii sheria huku waachane na ujinga wa cheti cha form four
 
Imeandikwa "Usimjaribu Bwana Mungu wako."
 
Back
Top Bottom