Endapo mke wangu ataendelea na huu utaratibu wa kutokukagua simu yangu ambao ameufanya sasa kwa miezi nane mfululizo basi nategemea siku moja tutamitiza miaka 30 au hata 40 ya ndoa yetu bila...
Habari waungwana, natumai mu wazima,
Bila kupoteza muda kama mada inavyojieleza hapo juu ni kwamba nimekuwa na tabia ya kuumia saana hasa inapofika suala la mapenzi.
Mimi bado sijaoa na katika...
Acheni kujidanganya, heshimu na kumpenda anayekupenda na kukuheshimu pia na hii ni pamoja na Binadamu waliotokea tu kuwa Wazazi wako, kuna wazazi wengine hawastahili heshima na ni washenzi kuna...
The way I love you, my facial expression tells all. Many kisses to you dadiiii mmuah!!
Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.
Ulale...
Sikuona shida kurudi Kijijini kumhudumia Mama mkwe, alikua Mzee sana na kutokana na umri wake na hali yake alikataa katakata kuja Dar. Kisingizio chake ilikua hataki kutupa hasara ya kubeba maiti...
Nimekuwa nikisikia na kuwashuhudia baadhi ya mwanaume wakijisifu kabisa mbele ya wenzao mm Nina wanawake sita saba au utasikia Winnie nimepiga Jenipher ,Pili ,Restuta wote Mimi tayari nishapita...
Nimesikia sehemu eti mwanaume aliyewahi kutoa bikra huwa anakuwa na bahati sana kwenye maisha yake, eti kwamba bikra inaondoa mikosi na balaa katika maisha.
Kuna ukweli wowote hapa??
Habari wanandugu wa jf nimekuwa nikipitia threads mbalimbali nimebaini kuwa wanaume wanaongoza kwa kuwa shutumu wanawake kwa kuwatenda vibaya kimapenzi (usariti)
Ivi shutuma hizo nizakweli ? au...
Nimecha mouse apa nikifikiria kitu kimoja vi hadi leo kuna mwanaume upo single kweli udomo zege au hujaamua.
Aisee me kama we ni mzuri alaf upo pekeako haupiti ivi ivi bila kukuchombeza.kama mke...
Kama tunavyojua MUNGU alimuumba mwanaume ili atawale vitu akiwemo na mwananke sasa siku hizi eti wanawake wanataka kuwatawala wanaume siku hizi
Nyie KE mtaumia msishindane na sisi
Mara nyingi mwanaume na mwanamke wakipanda bajaji basi wataanza kushikana shikana au kupeana makiss, wengine wanapigana madole kabisa
Hawa ndugu zangu wa bajaji zile side mirrors (saiti mira)...
Naomba hili nilimwage hapa maana moyo wangu utapasuka. huyu dada ni muuzaji mkubwa wa mwili wake hapa mjini, sina shida na hilo..
Kinachonikata nyongo ni pale hii ajira anayofanya hapa au huko...
Kiuhalisia mimi ni mkono wa birika sana. Mimi bahiri,mimi mwanaume bukta hata suruali ni ndefu.yaani mimi nataka demu nimgegede kwa maneno tu.ndiyo tunaongea tunakubaliana yes or no bas.siyo demu...
Watu wanasema kufanya mapenzi ni mazoezi mazuri sana
Na wanaenda mbali zaidi kwa kusema MTU anaefanya sex(Mwanaume) na kufika mshindo wa goli moja ni sawa na MTU anaefanya mazoezi ya kuzunguka...
Kuna binti hapa mtaani ni kama wiki tatu sasa namfukuzia anantolea nje kisa anasema hawaamini wanaume wote.
Anasema alikua na mwanaume na alimpenda sana but akaja kumuacha kwenye mataa kwa...
Kwa heshima na taadhima, sisi wanaume walala hoi, tunaoishi kwa ujanja ujana hapa town, na ukibahatika kupata mbebee mkali basi lazima umkojoze ili asikuache maana akiomba hela ataambulia maumivu...
Ni baada ya kunitolea kejeli na kinifananisha na Adolph Hitler. Anatumia fedha vibaya huku yeye haingizi hata 100. Ukimuachia fedha anaenda kununua vitu vya urembo kama shanga au nguo huku unga au...
Habari za wanaJF?
Mimi ni kijana kitanzania, nipo hapa Dar es Salaam. Baada ya kushughulika na michakato ya maisha, hasa kuweka mikakati mizuri.
Sasa muda wa kuoa ndiyo umefika. Sasa ninahitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.