Najuta kumuonea huruma na kutembea nae

in ha

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
1,547
2,000
Duuh pole ila una uhakika n mimba yako?...hebu mwambie akapime ijulikane ina umri gani ...maan huenda aliweka mwingine nawew unataka ubebeshwe mzigo juu kw juu...afu mkuu SKU nyingine uwe unavaa soksi kama huna mpango w kupata kiumbe
 

ChamaB

Senior Member
Apr 11, 2017
143
250
Hi wana bodi,
Nipo na mawazo na majuto kwa kutembea na mtalaka wangu,
Mtalaka wangu tumeachana miaka minne iliyo pita, kinachoniuma kwa hii miaka minne ya kuachana nae kanisumbua sana kuanzia bakwata, ustawi wa jamii mpaka mahamakani ,huku kote akidai matunzo ya mtoto.
Anachotaka yeye ni mahakama impe %ya kipato changu badala ya mimi ninavyo mtumia.
Sasa kufuatana fuatana nimejikuta natembea nae ili kumshawishi asinipeleke mahakamani kwani sipendi kufikishwa huko.
Sasa ameanza usumbfu kuwa amenasa na alikuwa anataka sana mtoto wa nyongeza azae na mimi, na anasema Mungu amejibu dua yake kwani alikuwa ana ombea niwe baba wa watoto wake tena. Sasa kwa hii miaka minne shubiri niliyoipata kwake nimeichoka lakini mwezangu hajali kama mimi sasa Nina maisha mapya anachodai mimba hii tutailea wote tukiwa nyumba moja.
Naomba ushauri ,hivi kuna waganga wa kutoa mimba rimoteness.?
OFISA:Mtalaka ni mtamu sanaaaaa na utamu wao hua hauishi wala hauchuji naongea kutokana na experience, weye lea mimba tuu ila ndani usimuingize maana km mlipelekana Bakwata na talaka mkapeana yakupasa aolewe upya na aachike ndio umuoe tena ss na hilo tumbo nani atamuoa? la sivyo ukiamua kumrudisha ndani mtakua mnaendelea kuzini km mlivyozini ukampa kitumbo ndiiiiii
 

Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
16,203
2,000
Ndio maana mm huwa sitombi ma-x...mtu umeachana nae miaka minne unachoenda kupata kipya kitu gani?!
Alichokuwa anakitafuta kakipata hivi mtu usiye kuwa naye karibu kwanini mkae wawili warudiane tu wakalee hiyo mimba hata ndugu watamshangaa wanakusaidia kumbe usiku mwazima taa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom