My Love...... My Endless Love....

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,531
2,000
The way I love you, my facial expression tells all. Many kisses to you dadiiii mmuah!!Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.

Ulale Unono Mahabuba

Kasie Mahabat Matata.
 

Jiwedogo

JF-Expert Member
May 23, 2017
2,820
2,000
Ebu lala mkuu....
Kutoka huko hadi ufike mjini pale panapo tazamana na S.L.P...... mkabala na jengo refu lenye jina la kiongozi mkubwa kabisa wa awamu ileeeee...... Ebu lala mkuu kesho siku ya kazi bhanaaaaa, kitovuni mwa mji ni mbali, labda kama pengine upo likizo kuleeee Bondeni ama kwenye anapo miliki Trump....
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
87,597
2,000
The way I love you, my facial expression tells all. Marys kisses to you dadiiii mmuah!!Mpenz nakupeeendaaa, ujue na nakupeeendaaa tena nakujaaaliii. ....
Mahaba mia mia kwako dadiii.

Ulale Unono Mahabuba

Kasie Mahabat Matata.

Kwa nini unajiita Kasie Matata?
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,531
2,000
Ebu lala mkuu....
Kutoka huko hadi ufike mjini pale panapo tazamana na S.L.P...... mkabala na jengo refu lenye jina la kiongozi mkubwa kabisa wa awamu ileeeee...... Ebu lala mkuu kesho siku ya kazi bhanaaaaa, kitovuni mwa mji ni mbali, labda kama pengine upo likizo kuleeee Bondeni ama kwenye anapo miliki Trump....

Usikremishe utajikwaa. ...... pole sana.
 

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
17,531
2,000
Kwa nini unajiita Kasie Matata?

Hahahahahhahahahahaaa unataka nikupe siri...?? Kasie bana asili yake tuu ni mtata mtata kama choda a baba ilivo tata na tamu aahahahahahhaahahhaahhahahahaa

Umekunywa maziwa? Cockroach Mendeeeee

Kasie Matata.....
 

tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
6,043
2,000
Natamani na mimi nipate mpz kama Kasie. Mapenzi na Kasie, Kasie bila ya mapenzi haiwezekani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom