Madereva bajaji acheni umbeya

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,526
3,801
Mara nyingi mwanaume na mwanamke wakipanda bajaji basi wataanza kushikana shikana au kupeana makiss, wengine wanapigana madole kabisa

Hawa ndugu zangu wa bajaji zile side mirrors (saiti mira) huwa wanazitegesha kuona ndani. Yani badala ya kutegesha aone pembeni yeye anategesha ili kujua mnachofanya ndani.

Ukipanda bajaji na demu ukiona jamaa anajifanya anaweziweka vizuri we mchane tu mwambie aache umbeya afanye kazi yake.

Atasababisha ajali bure kushangaa yanayotokea humo ndani
 
acheni nyege kama fisi maji umeshindwa kukituliza hadi ufike sehemu poa ww kwenye bajaji unatia midole qumaniner zenu alafu mnapaka siti miutoko yenu.

tunakuja kalia, siku nzima tunaandamwa na mabalaaa kumbe wajinga flani mnatiana midole humo
 
Shamrashamra za mahaba zinafanyikia popote pale hakuna kujipanga wala wapi, ndiomana watu wanasex mpaka jikoni wakiungua hawasikii mpaka wakimaliza. Swala la mabalaa hilo ni lako umezaliwa nayo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom