Jirani yangu ofisini ni kahaba, ajira yake ni geresha tu

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Naomba hili nilimwage hapa maana moyo wangu utapasuka. huyu dada ni muuzaji mkubwa wa mwili wake hapa mjini, sina shida na hilo..

Kinachonikata nyongo ni pale hii ajira anayofanya hapa au huko kwenye kampuni ingine alikotokea ni gheresha tu kwa wateja wake kuwa she's a working class, lakini pia kuihadaa jamii inayomzunguka.

Hategemei mshahara (kwa mujibu wa kauli zake na lifestyle yake hapa ofisini) na maisha yake ni ghali kwa pesa za mapedeshee... Kwanini asingewaachia wadada wenye uhitaji wa ajira hii kuliko kuzibia wengine riziki kama ana uwezo kuishi bila hiki kibarua?
 
Sid,ewi Mtaa nada anachotaka kutuambia Mwambi huyo dada ni changu au nini? Sasa kwani muajiri anatatizo Na ufanyaji wake kazi? Just mind your own life
 
Mkuu kumbuka ukahaba ni roho kamili.mtu anaweza akawa na kila kitu lkn bado akawa kahaba.

Unachotakiwa kufanya
1.Muombee sana maana yamkin hata yy anataman kuacha lkn hawez kulingana na pepo lililo mganda.

2.Hutakiwi kumchukia maana ukimchukia atashindwa kukueleza mambo yake km kutaka msaada

3.Anza kumchangamkia na kupenda zaid kuliko mwanzo ili ajione yupo mikono salama.na upate nafac ya kumshaur na kumuelewesha madhara ya hiyo kazi yake ya siri.

4.Mpendwa YESU alikuja kutafuta kilicho potea .msaidie kwa upendo usiwe mbali nae nan amwokoe km c ww?nan amwonyeshe njia njema km c ww?

MPENDE JIRANI YAKO KM NAFSI YAKO NA ANAPO ANGUKA JUA ATASIMAMA TENA.KUMBUKA MUNGU SI WAWATENDA MEMA TU BALI NI WAWOTE WENYE MWILI.
 
Naomba hili nilimwage hapa maana moyo wangu utapasuka. huyu dada ni muuzaji mkubwa wa mwili wake hapa mjini, sina shida na hilo...kinachonikata nyongo ni pale hii ajira anayofanya hapa au huko kwenye kampuni ingine alikotokea ni gheresha tu kwa wateja wake kuwa she's a working class, lakini pia kuihadaa jamii inayomzunguka.

Hategemei mshahara (kwamujibu wa kauli zake na lifestyle yake hapa ofisini) na maisha yake ni ghali kwa pesa za mapedeshee...KWANINI ASINGEWAACHIA WADADA WENYE UHITAJI WA AJIRA HII KULIKO KUZIBIA WENGINE RIZIKI KAMA ANA UWEZO KUISHI BILA HIKI KIBARUA?
Wengine wanafanya kwa starehe, wengine kwa dhiki, wengine wanafanya kwasababu ya hulka yake,wengine ndo biashara kukusanya kipato, wengine ni spy serikali imemtuma, kuwa makini sio kila ukionacho ndo tafsiri yake, acha private business za watu kama uliomba ukanyimwa acha chuki..
 
Wengine wanafanya kwa starehe, wengine kwa dhiki, wengine wanafanya kwasababu ya hulka yake,wengine ndo biashara kukusanya kipato, wengine ni spy serikali imemtuma, kuwa makini sio kila ukionacho ndo tafsiri yake, acha private business za watu kama uliomba ukanyimwa acha chuki..
Sikuomba na wala sio tabia yangu, I just hate her kwa kuwabania madada wa ukweli kufanya hiyo kazi ili hali yeye hana ulazim nayo.
 
kuna vitu vingine/mambo mengine yakiletwa humu unajua tabia ya mutu. Hivi inakugharimu nini wewe?? y don't you just mind your own busness?

kama wewe ni ke sitajali sana maana kwao ni suna japo sio nzuri sana lakini kama wewe ni me ni bora uende ukaombewe pepo la umbea na kufuatilia mambo ya watu likutoke.

Ningekuwa wewe nisingekuwa na haja ya kuja huku jukwaani bali ningemwombea na kumpa ushauri.

asante.
 
Wewe inakuhusu nini? Anafanywa na kifanyiwaji chakee au chako?
 
Mjini hapa ukifuatilia maisha ya watu utachelewa kufanya yako! Kila mtu acheze kwenye nafasi yake
 
Back
Top Bottom