Baada ya kufanya utafiti na kuridhika nao. Sasa tumeamua kuutoa mbele ya Watanzania! Kama hujui hesabu hasa Probability sasa iko hivi, probability ni uwezekano wa kitu fulani kutokea sasa leo...
Sidhani kama kuna mtu kaumbiwa kupenda kila kitu.
Na kila mtu naamini anakasoro yake..
Mimi kasoro yangu ni kwa wadada wafupi. hata uwe mzuri kiasi gani, ukiwa mfupi tu!
baasi!! nitakuchukulia...
Habari zenu ndugu wa JF, kawaida sipendi kuanzisha nyuzi mara kwa mara humu jukwaani ila ninapoanzisha inakua maji yamefika shingoni.
Niende direct kwenye sababu ilionifanya nikafungua uzi huu...
Jamani nimestushwa na suala hili sana. Kilomita zangu za umri zimesonga sana. Ktk kuperuzi mitandaoni juzi nimechat na mshikaji wangu mmoja akaniuliza "wewe jamaa una nini wewe?". Nikamuuliza...
Habari za jioni wanaJF.
Hii hali ya kijana kuajiriwa katika ofisi Fulani, ukiwa bado mpya kwenye ajira ukiwa na ari mpya, kasi mpya, na nguvu mpya inafahamika kwamba lazima utafanya kazi kwa...
Wadau mimi nilizaliwa nje ya ndoa miaka hiyo,baba yangu mzazi na mama yangu wa kambo kwa pamoja hawakupenda hata kuniona,nimelelewa na mama mpk nilipopata akili,nilikuwa nikinyanyua simu kumpigia...
Habari wana jamvi. Mm nimeoa mke mwaka mmoja sasa. Nilimuoa binti wa Kikristo baada ya kuridhiana nae ikabidi abadili dini na kuwa muislam. Sasa Tatizo ninalo lipata ni kuwa nimegundua huyu binti...
Wakuu habari za muda huu!
Pasi na shaka tumeamka salama kabisa..Muda si mrefu nilikuwa napata breakfast...Miongoni mwa vyakula nilivyokuwa nala TENDE zilikuwemo...Lkn baada nikaja kugundua hii...
Hello guys
Naposema "marafiki" i mean 5 people whom u are mostly surrounded with
a)Nilijifunza kuwa usiwaambie marafiki zako how much money u have in your bank account haijalishi una pesa...
Binti anapewa wosia kabla ya kwenda mjini kufanya kazi za ndani
Asha umepata bahati ya kwenda mjini sasa lazima utubadilishie maisha wazaz wako hucpofanya tunayokuambia utaishia kurud kijiji...
Habari. ...natafuta mchumba wa kiume alie serious.Nina miaka 34. Nina kazi nzuri tu kwenye taasisi ya elimu ya juu. Ni mweusi, sio mnene. Mkiristu. Nahitaji mume Mkiristu umri kuanzia 34 na...
Wakuu vipi mambo,
Nataka ushauri jamani, mpenzi wangu kakataa kuja kukaa na mimi kwa sababu nimehamia karibu na wazazi wangu kukataa kwake hakuna sababu yoyote ile sababu zake hazingii akilini...
Habari wakuu,
Hakika napitia katika wakati mgumu kwa sasa, nimekuwa na mahusiano ya muda mrefu na mwanamke niliyekutana naye chuo tangu mwaka wa kwanza hadi tukamaliza chuo huku mapenzi yakiwa...
Kuna kitu nimekifanyia uchunguzi mara nyingi ni kuhusu hizi sherehe za msimu wa krismas christmas festival or carol wenzetu wanigeria wanaondoa udhehebu wanaungana wakristo wootee na kufanya...
Naomba kuuliza jmn ,hivi na haki kweli kuwa na demokrasia ktk suala la mahusiano, yaan mwanaume na mwanamke kuwa na haki sawa? ..mm binafsi kwa sasa naona sio sawa kabisa ,niliwah kuweka haki sawa...
Wageni wengine wanakuwa na matatizo kweli,
Alikuja kutoka mkoani eti kusoma twisheni, mtoto wa ndugu yangu wa kike, yupo A level, ananitumia msg kila mara mara oooh umekula, mara leo umependeza...
Kuna wanawake wameenda shule na wana degree lakini utakuta Ana akili Ndogo utadhani ameishia darasa la saba!wazazi tuangalie watoto wa kuwasomesha maana wengine ni kufua tu pesa hamna cha maana
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, urefu cm175, rangi maji yakunde. Siamini saana juu ya dini but naamini kuna muumba wa vyote. Kabila langu ukinipm utafahamu.
Nimeshaambiwa na wasichana...
Una mpenzi wako mnapendana saana, ikatokea kuna Jambo likawatenganisha labda kwa mwaka Mmoja! na simu yake haitopatikana na Hakuna Mawasiliano labda!
Basi kwa huo mwaka mmoja wewe Mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.