Mwanaume ni kichwa cha familia

Mwanaume ni kichwa cha familia

Hahahaaaaa,,,,,mwanaume tafuta pesa familia ile sio ubabe na kuleta ukimwi home
 
Tena akiwa na kipato cha kuzugia ndo utatawaliwa hadi uisome namba. Kisa huwezi kumbabaisha hata yeye maisha anayaweza.
 
Ninatamani wanaume wote wangejuwa kama Aspirin.
 
Mambo zenu naulizia lodge nzuri sinza kwa 20,000 yenye ac,pasafi,kuwe na heater na maji ya kutosha.
 
Sidhani kama tunakuelewa mkuu, pambana na mwanamke wako!
 
Pambana na hali yako mkuu, usitingishe za wenzio.
 
Tusishindane hiyo vipiii,wakati mmejisahaulisha majukumu yenu....simama kwenye NAFASI yako.
 
Kuna mijaume mingine limbukeni, so how comes awe kichwa cha familia?
 
492dfd153a0cfd48d1555cba1422dc0d.jpg
 
Back
Top Bottom