Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ndoa nyingi zimekuwa zikiyumba sababu wanaume wengi wana vikorosho na vibamia hivyo wanawake kulalama kuwa hawafikishwi wala kukunwa ipasavyo, sasa baada ya uchunguzi wa kina imegundulika kuwa...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu nauliza if possible kupata bint ukaendanae date bila ties bongo. Kwamba tunaenda mahala tunazurula kisha tunarudi bila kujuana kabla or baada ya date. In thailand na china inawezekana na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Inakuwaje mtu unalewa mpaka unaenda toilet lakini unarudi kukaa unasahau hata meza uliyokuwa umekaa!!? Hao si ndo wale wanaolala mtaroni!!? Hao si ndo wanaopasuliwa yai matakoni kweli!!? Jamani...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Umri wangu;23 Dini yangu;christian Elimu yangu;degree Rangi yangu;black ila cyo km mkaa Kimo changu;160cm Binti awe na umri kuanzia 19-22 itapendeza na mweupe.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kuiba iba na mtoto wa watu sasa nimeamua bora iwe rasmi. Posa ilipelekwa na majibu yamerudi ya kwamba posa imekubaliwa kwa mahari yaliyotajwa ni siri yangu. Sasa kesho jpili ndo siku ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
*INSIGHTFUL ANALYSIS ON CHEATING* A man can cheat on his woman and still love her, but a woman cannot cheat on her man and still love him. I say this because _while *men do not* have sex with...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanaume embu mbadilike jamani, Hivi mchepuko wako mpaka anapata mimba na wewe unamsaport ya kwamba zaa tu mtoto nitamlea. Na baada ya mtoto kuzaliwa, unaanza kumzungusha kuhusu matunzo ya mtoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mapenzi ni neno la Kiswahili linalojumlisha idadi kadhaa ya hisia, kuanzia mahaba, pendohata upendo wa Kimungu. Ni kwamba kitenzi "kupenda" kinaweza kurejelea aina za hisia, hali na mitazamo...
0 Reactions
6 Replies
37K Views
Huku kwetu kwa Mtogole jirani yangu anafanya biashara ya nguo kutoka Uganda. Mume alipata matatizo kazini. Sasa hizi nyumba zetu zilivyojenjwa karibu karibu hata jirani akispray air freshener tu...
6 Reactions
70 Replies
5K Views
Siku za nyuma kidogo walikuwa wanajaa sana pale Q-bar. kwa sasa bado wapo Q-bar? Au wanapatika kiwanja gani hapa Dar? Ahsante.
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Jamani naombeni kuuliza wale ndugu zangu wataalamu wa intelligensia Katika mapenzi. Ivi ikitokea umempata mpenzi na Huyo mpenzi wako unataka hapo Badae aje kufunga nae ndoa lakini Kabla naombeni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habarini zenu hapa ndani, Nina miaka 26 ila kulingana na umri wangu (mdogo) siwezi kuoa kwa sasa na hivyo nahitaji mdada mzuri wa kuzaa nae tu. Nitagharamia kila kitu kuanzia siku ya kwanza ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kitchen Party ni utaahira mwingine ambao sijui tumeupata wapi? Eti kungwi hanijui mimi, hajui sipendi nini Na pia hajui napenda nini, yeye Na wanawake wengine ndugu wa mchumba wangu Sky Eclat...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Natumaini wazima, Hakuna kama wazazi, wao pekee ndo wenye upendo wa dhati kwetu, wao ndo watu wa mwisho kabisa kusimama nasi tunapopita kwenye matatizo baada ya wote kutukimbia, upendo wao hauna...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu. Katika harakati zangu za kujifanyia 're-organization and restructuring', nikaamua sasa niwe na angalau wanawake wawili watatu ila mmoja awe permanent alafu wengine hao wawe...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
C & P Kwa tunao tarajia kufunga ndoa How much you spent in your wedding is not as important as how long you stay in your marriage. Wedding is just one day celebration while marriage is an...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
WASICHANA WAKIZUNGU UKITOKA NAO OUT HADI RAHA Ukinunua vinywaji yeye ananunua chakula Ukilipa tax yeye analipia lodge ukija na gari yako yeye anaweka mafuta Ukimnunulia UA anafurahi sana na...
10 Reactions
24 Replies
8K Views
Kanuni bora ya mapenzi itakayokupa mwenza bora wa maisha ni kujifunza kumpenda anaekupenda hata kama humpendi kwa wakati huo jitahidi kulazimisha moyo kumpenda mwisho wa siku utajikuta unamkubali...
16 Reactions
68 Replies
4K Views
Wakuu waswahili husema mficha uchi hazai, nami nimeamua kuufuata msemo huu wa wahenga maana naona mambo yanakuwa sio. Am gentleman aged 25 natafta mchumba wa kuyajenga naye na ikibidi kuoana.Awe...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom