Ni kweli goli 1 ni sawa na kukimbia uwanja Mara 14?

Ni kweli goli 1 ni sawa na kukimbia uwanja Mara 14?

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,713
Reaction score
8,770
Watu wanasema kufanya mapenzi ni mazoezi mazuri sana

Na wanaenda mbali zaidi kwa kusema MTU anaefanya sex(Mwanaume) na kufika mshindo wa goli moja ni sawa na MTU anaefanya mazoezi ya kuzunguka uwanja wa mpira Mara 14?

Je ngono ni zoezi kama yalivyo mazoezi mengine ,mnijuze[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Zoezi pekee linalochuja "akili" ulimwenguni!
 
Kupiga punyeto goal moja ni sawa na kukimbia kilomita moja.....
 
Aisee, ngoja nisubirie wataalamu waje .
Ila nahisi yatakuwa yanatofautiana, huwezi kulinganisha goli ninalopiga kwa dakika 30-45 lije kulingana na yule dakika 3-5.

Ngoja nivute subira nisubirie majibu sahihi.
 
Watu wanasema kufanya mapenzi ni mazoezi mazuri sana

Na wanaenda mbali zaidi kwa kusema MTU anaefanya sex(Mwanaume) na kufika mshindo wa goli moja ni sawa na MTU anaefanya mazoezi ya kuzunguka uwanja wa mpira Mara 14?

Je ngono ni zoezi kama yalivyo mazoezi mengine ,mnijuze[emoji41] [emoji41] [emoji41]

Hiyo ni kwa wanaume goigoi wa Dar. Wanaume wa mikoani bao moja ni sawa na kutoka chumbani kwenda kupata hewa safi sebuleni kusubiri muendelezo wa mechi. Jamaa wanapiga mpaka bao saba! Upo?!?
 
Aiseee mimi hata goli moja huwa sifikishi....silipati kabisa acha tuuu yaani...
 
Back
Top Bottom