Kwa wale wapenzi na walioko kwenye mahusiano na ndoa migogoro ni kitu cha kawaida na sehemu kubwa ikisababishwa na wivu...lakini pia kuna hali ya kuzoeana na kuchokana Kwa kiasi fulani
Tukiachana...
Mim ni msichana natafuta marafiki wa kike na wakiume popote walipo, tuweze kushare na kupeana mawazo ya kujenga has maendeleo,nahitaji marafiki ambao ni matured wenye upeo wa akili plz tukutane...
Nimewakumbuka tu huko mliko jamaa zangu wa miaka ile, Uwanja wa MMU umekuwa mpana sana, siku nazo zimekwenda alhamdulillah. Anyway ni salaam tu kwenu nyote; MwanajamiiOne, Dark City, nyumba kubwa...
Kwa Jinsi Ninavyoona watu wanavyoleta Nyuzi za wake zao wanavyozingua naona huu mkondo utamfuata kila mtu!
Nilikuwa na Mzuka wa Kuja kumuoa Mwanamke wangu Kipenzi ila daah kwa Hii Hali Bado, eti...
Ama kweli zilipendwa zipo!
Nakumbuk miak ya 91-94 nlikua mtaalam sana wa kuwachokoza mabinti c unajua ujana tena!!
Ila sa mm bhana nlikua sijiamin sana mi binafsi kiasi cha kwamba nkawa natumia...
Habari za mda huu waungwana.
Inauma lakini ndo imeshatokea nimejikuta nikishea dem mmoja na braza bila kujua.Leo ndio nimegundua nilipoenda kwa braza kumsalimia nikawakuta manzi angu na braza...
Kama title inavyobonga.<br />Mi ni me bwana we siku hyo nimetoka kushugulikia gar langu kwa fundi kuhusu mambo ya regetor ghafla nikaona text. Beib umekula? Nikajiwazia nikasema huyu mwanamke anae...
Hi JF,
Nimewaza baada ya research za maisha ya kila siku kuwa na mwasi kitoko Cherri yani binti murembo kunachangia mwanaume kuwa tajiri. Wadau hili lina ukweli wowote maana naona kila mtu...
Salaam JF
Kuna mambo unaweza kubisha lakini katika Real World yaani mazingira ya kawaida itabidi ukubali tu.
Katika mazingira mengi, mtu mwenye Mwonekano bomba, awe Me au ke kiaina, watu...
Ni binti ambaye anauza duka la vipodozi jirani kabisa na ambapo nimefungua kibanda changu cha kuuza vipodozi.
Binti ni mpole na anaonekana anajiheshimu hasa kimavazi na lugha yake nikimlinganisha...
Wakuu ni najamaa yangu yupo kwenye wakati mgumu sana .kwani amekuwa akimrekebisha mke wake pale anapo kosea lakini mke wake anamtuma akatafute anae endana nae sasa haelewi afanye uamuzi gani kwani...
Nimeolewa na mwanaume mwenye sifa zote ambazo kila mwanamke angependa kuwa naye maishani. Tumebahatika kupata mtoto mmoja ndani ya ndoa yetu yenye umri wa miaka 5. Na kwa muda wote huo tumeishi...
Wanajamii forum nilikuja kwenu kuomba ushauri kwa kweli nawashukuru sana.Mlio wengi mlinipa ushauri kadri mlivyolichukulia kutokana na uzito wake. Tuliweza kufatilia mawasiliano ya mke wangu ya...
Suppoze una rafik yako wa karibu ambae mnapendana na mnashirikishana kwa kila jambo. Anakutambulisha kwa mpenz wake(shem wako) na urafik wenu unazid kukua. Inatokea rafiki yako na mpenz wake...
Meseji inasema:
"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".
Iko hivi...
Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la...
It is surprising to experience that there are people who once they happen to know you the next step is to beg from you. But they are never labelled as beggars. Can you make an intelligent guess...
Kuna kile kipindi unaji-commit kwa mpenzi wako huduma nyingi nini na mambo kibao tena unakuta mpo kwenye uchumba unaoelekea ndoa. Mara paap unapata fununu anaku-cheat.
Hapa utaskia misemo kama...
BE HONEST HERE [emoji116]
Bibi harusi afumwa akifanya mapenzi na mpenzi wake wa zamani kwa mara ya mwisho katika jumba lisilomaliziwa na mpambe wake siku ya harusi yake, kama wewe ungekuwa mpambe...
Mwaka 2003 sitosahau katika kijiji kimoja huko Arusha ndani ndani hasa.kama unapafaham Endulen Tulikuwa tumeenda kikazi tukawa na dereva wetu na dada mmoja mrembo sana wa kizigua.
Tulienda kikazi...
Jamani humu ndani wote habari zenu,?
Jamani eeeh mimi mwenzenu huwa kuwa jambo lanitatizaga sana kwakweli, huu ujasiri wa kina dada zetu kuitana "mpenzi"wanaupata wapi ba ndugu, maana utaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.