Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kwamba mnakuwa busy sana mpaka mnashindwa kukwetua nyasi zetu huko mafichoni? Unakuta bidada akitoa pichu yake, unaweza dhani kiota cha ndege, mbaya zaidi utasikia eti suck me baby' ooh...
13 Reactions
124 Replies
10K Views
Hii inatokea sana kama mume ni mtoto wa kwanza, wa mwisho au mtoto pekee wa kiume. Unaolewa unaanza maisha ukiwa kwa wakwe. Mnapewa chumba chenu na mama mkwe ndiyo mother house. Unahitaji busara...
9 Reactions
95 Replies
11K Views
Habari wana JF Leo naleta mrejesho wangu juu ya aliyekuwa mchumba wangu niliyemtolea mahari akazidisha kejeli , kiburi na madharau Wakati naleta Uzi huu nilikuwa wilaya nyingine tofauti na wilaya...
4 Reactions
84 Replies
7K Views
Ndoa zimekuwa ngumu waume Na wake Wema wanapatikana kwa shida sana.Sasa kwanini humu mtu asiseme natafuta mtu ambaye ana kwake lakini angalau awe anakuja kunitimizia mahitaji ya kindoa japo...
0 Reactions
3 Replies
681 Views
Kwa wanaJF wasio juwa mambo mengi napenda kuwakumbusha kidogo. Nani anaikumbuka kwaya ya AIC Shinyanga?Unajua kilichowakuta waimba kwaya na baadhi ya waimini wengine? Kama kawaida waimba kwaya...
8 Reactions
50 Replies
8K Views
Ikitokea nafasi ya kubaki watu 2 utamchagua yupi ubaki nae humu duniani? NB;kama ukiona hii mada imekukera pita kushoto kinyume chake utanisababishia BAN karibuni sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu, Nilikuwa na mpenzi wangu tuliependana sana wakati tunafanya kaz katika ofisi moja, kwakuwa mapenzi hayana kificho yakajulikana kutokana na kuingiza mapenzi muda wa kazi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hii ni thread maalumu kwaajili ya wanaume wasiohonga na ikitokea wamehonga wanahonga pesa zisizoendana na kipato chao. Wakati mwingine tunatumia njia za uongi kupata pesa kwa wanawake Si kwamba...
8 Reactions
40 Replies
8K Views
Tangia nimejiunga na JF nina miaka 5 sasa JF. Mpaka sijawahi hata kwa bahati mbaya kukutana na mwanamke mzuri humu JF kila ninaekutana nae sio mzuri wa sura wa shepu. Na kitu kimoja...
6 Reactions
194 Replies
16K Views
Tangu dunia kuumbwa mwanamke mrahisi wa kurubuniwa,karubuniwa hata na lucifa kisa tunda tu ,kwa tamaa ya fedha Delila hadi kamsaliti Samson,....wanawake ni viumbe wanaotumiwa na shetani,hawana...
10 Reactions
55 Replies
8K Views
Kama kichwa kinavyo jieleza, Mpemzi wangu simu yake ilikua na shida nikaamua kumpa handset yangu ya spear. Baadaye baada ya kumtafutia simu nyingine ilibidi arudishe niliyomuazima, cha ajabu...
6 Reactions
59 Replies
7K Views
Girl:- I Had Sex With 4 men And You Had Sex With 8 women, But Everybody Calls Me Prostitute And They Call You A Real Man, Please Explain Me Why ? Boy:- When A Lock Is Opened By Many Keys, It...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mwanaume wa 45+ yupo kweli? Ukweli upo hiviiiii!! * Below 45 don't bother yourself ku pm please! * Mkristo * Mpole * Relocate:(! Yawezekana? * Waume za watu don't bother ku pm please!
13 Reactions
156 Replies
11K Views
Habari zenu wana Jamii..! Kama tittle ya post inavyo jieleza hapo juu.. Mm nikijana wa Miaka 32 Natafuta msichana ambaye yuko serious kuanzisha maisha, ambaye amemaliza ujana na anaamini...
2 Reactions
2 Replies
867 Views
Baadhi Ya Viongozi Na Wawakilishi Wa Wanachama Wa Cha Wafanyakazi wa Ndan Nchin Rwanda.... ( ChachaWaNdaRwa ) Wakiwa Kwenye Picha Ya Pamoja Mara Baada Ya Kuja Kumjulia Hari Dada Wangu Wa Kazi...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
Habarini wanajamvi, Miaka minne iliopita nilipata mpenzi ambaye tulipendana sana nakuaminiana pia, mapenzi yaliendelea vizuri na yalinoga kadri siku zinavyo jongea, yule mdada alikuwa anakaa...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari zenu ndg ! natafuta mwanamke wa kuoa umri kuanzia miaka 23 na kuendelea sichagui dini wala kabila ila lazima awe mikoa ya mwanza mara shy na dodoma hata uwe na mtt usiogope nafanya kazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukweli usiopingika kuhusu binadamu .Binadamu tunapitia vupindi Vingi kwenye maisha yetu lakini kuna vipindi huwa ni vigumu hata kuelezeka kipindi cha kufiwa huwa kinauma sana hasa unapofiwa na MTU...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo!! Kuna tatizo ambalo mara nyingi sana tumekuwa tukidiscuss sisi mabachelor bila kupata majibu yanayoakisi uhalisia wa tatizo. Labda tuanzie hapa, binafsi...
1 Reactions
72 Replies
9K Views
This song right here...is a timeless classic! One of the greatest love songs ever, in my book. She hit it out of the ballpark with it. It never gets old to my ears. Enjoy y’all.
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom