Nimefuma SMS hii kwenye simu ndogo ya mke wangu

kilambimkwidu

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
5,513
2,000
Meseji inasema:

"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".

Iko hivi...

Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.

Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.

Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".

Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hadi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.

NYONGEZA
================
*M-Pesa jamaa anaonekana jina lake kamili ni BONI MANYANKI

*simu nipo nayo mpaka sasa

*nimemchek whatsapp dp nimescreenshot ninayo picha yake but sjui kama sheria JF inaruhusu nipandishe hapa

*wife kaniambia harudi home nifanye nitakalo
 
kedekede

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
4,065
2,000
Umemwambia ulichokiona?ulihamishia meseji kwako?mwambioe mkeo,umetombewa mkuu na boloyank.
 
JWKRMM

JF-Expert Member
Sep 17, 2017
1,561
2,000
Meseji inasema:

"...hapana mama, sio kubwa mbona, ni wewe tu una uch* mdogo. Lakini naona unaizoea taratibu".

Iko hivi...

Nipo kwenye mgogoro na wife na hatusemezani wala hatushiriki tendo la ndoa wiki ya tatu sasa. Jana aliondoka asubuhi kama kawaida akaenda ofisini kwake, anafanya kazi kwenye kampuni ya soda. Alichelewa kurudi kupita siku zote na bila kunitaarifu.

Kwa kawaida hua anasimu 2, moja yake binafsi nyingine alinunuliwa na kampuni na anaitumia kwa mawasiliano ya kikazi tu. Hii ya ofisi mara ni nokia tochi tu na hua mara nyingi anaizima akiwa home usiku, jana kasahau kuizima kumbe ndo anakoficha madudu yake huko.

Hii simu hua sipekui kabisa kama ile simu kubwa kwakua hua naamini inamambo ya kiofisi na mawasiliano ya humo yaweza kua siri. Sasa jana alipoenda kuoga nimefuma meseji hoyo kwenye kale kasimu, meseji imetoka kwa gudume flani jina kasevu "Boloyank".

Sijamuuliza kitu mpaka sasa. Nakufa mwenzenu! Ninahasira hafi nashindwa kuongea wala kumeza mate. Nahisi kufa na wahusika wa kifo changu ni wife na Boloyank.
Mbona husemi meseji uliifanyaje au ulifanya nini baada ya kuisoma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom