Habari,
Najitokeza kutafuta mwanamke ,awe mchumba later awe mke.
-Nina miaka 27
-yeye awe na 27 kurudi nyuma
-awe na elimu kuanzia na diploma
-dini awe muislamu.
Aliye tayari ani pm.
Nipashe imebaini kuwa kwa sehemu kubwa, wazazi waliotengana watoto wakibaki kuishi na mzazi mmoja, ama mama au baba, janga hilo huijitokeza.
Ni hatua na mazingira ambayo watoto wanakosa malezi na...
Ingawa si wote , lakini asilimia kubwa sasa wanajisatisfy bila shida yoyote kwenye suala la mapenzi.
Biashara ya zile bidhaa imekuwa common na demand yake inapanda kwa kasi, wameshazoea mahogo ya...
Mwaka jana mwez wa 12 mara baada tu ya mahafal yangu, nilianza kuona mabadiliko hasi kwa mpenz wangu ambayo yalianza kutishia uhai wa mahusiano yangu ambayo kwa hakika niliwekeza...
Wanabodi
Hii ni ratiba inayotakiwa kufuatwa na wake zetu kwa siku na kila siku.
Asubuhi mkiamka tu hapo mwanamke anatakiwa awe kama Mama mzazi wa mume wake.
Mchana, mwanamke unatakiwa uwe dada...
Kwa mwenye uelewa mdogo atasema ni stori ya kutunga na kwenye uelewa na yaliyokwisha mkuta ataelewa nini namaanisha na kunishauri.
Na mke wangu nampenda kwa dhati sana na tunaheshimiana sana Mimi...
Wakuu,
Baada ya upweke wa muda mrefu nikajisemea ngoja nianze kuwinda mabinti pale Mlimani City, so nikajiwekea kautaratibu kila siku jioni lazima nipitie pale Mlimani City kuzuga huku nikiwa...
Heshima kwenu wakuu,
Leo ni siku ambayo nimekesha nikiwaza
Ipo hivi, miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja
yeye alikuwa anafanya kazi bank jirani na ofisini kwangu...
Ndugu zangu naomba kuwakumbusha kua ngono ni kitendo kinachofanywa na wanyama kwa lengo la kuzaliana.
Hua na shangaa kusikia mtu anatafuta dawa za nguvu za kiume au mke anasema mume hamtoshelezi...
Ilianza baada ya kukutana na mwanaume na kahidiana kuoana, siku alipopelekwa ukweni alimuona kaka mkubwa anavutia zaidi. Alifanikiwa kuhamishia penzi kwa kaka yule na kufunga ndoa ya bomani...
SEHEMU YA 01:
NILIISHI maisha ya starehe. Ujana ulinikamata vilivyo. Pombe na wanawake havikunipita, walionifahamu waliniita ‘popo.’ Nilikuwa popo kweli, popo kasoro mabawa!
Mchana nilifanya...
Ushawahi kutana na mkaka ana sifa zote yaan handsome mpaka unasema hapa nifurahishe nafsi,,anakutokea mnakuja kukubaliana siku unamvulia chupi utashangaa umeparamiwa ,kuku si kuku ,halaf maumbile...
Asilimia kubwa ya malalamiko huhusisha sex humu, mfano..
1 mke wangu anachepuka na
mtu fulani
2_ mume wangu hanilizishi
3_ nimezama kwenye penzi la shemeji
4_mke hajui kukata kiuno
5_mke/ mume...
Natumaini mu wazima humu,
Nilianza mapenzi na dada mmoja nikiwa kikazi mkoani Dodoma, kiukweli huyu dada tulipendana sana alikua kichaa wa mapenzi kwa jinsi tulivyopendana alikua hasikii wala...
Habari za usiku wakuu,
Nimeona nilete story hii kwenu ili wazoefu wa mambo wanisaidie kunishauri miezi kadhaa iliyopita nilifahamiana na wadada wawili mapacha ambao wanafanya kazi kwenye taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.