Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,260
Kuna kile kipindi unaji-commit kwa mpenzi wako huduma nyingi nini na mambo kibao tena unakuta mpo kwenye uchumba unaoelekea ndoa. Mara paap unapata fununu anaku-cheat.
Hapa utaskia misemo kama "wanaume hawajui wanachokitaka kwa wanawake" au "wanawake hawajui wanachokitaka kwa wanaume" yaani nampa kila kitu halafu anatembea na kale kasharobaro kasiko na mbele wala nyuma??? Au "na uzuri wangu wote huu anatembea na limwanamke lisilojua hata kuoga??"
Usimdharau mwenzako anayetembea na mpenzi wako kisa umeona kuna ulivyomzidi kwa macho yako. Yes, Inawezekana ni kasharobaro ila kanajipenda,kanamthamini na kanamjaali kwa kidogo alichonacho ndiyo maana kwako anachukua pesa anaenda kutumbua na hako kasharobaro.
Usimdharau mwanamke mwenzako kutembea na mpenzi wako kisa umemzidi weupe, chura na ka-face. Unapoachwa tafuta mapungufu uyarekebishe ili ajae ummiliki sio uangalie uliyomzidi aliyekuchukulia ili umtambie kwa shoga zako.