NGUVU YA KIJITI-MVUTO

NGUVU YA KIJITI-MVUTO

bway hermit

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
1,380
Reaction score
2,392
Ama kweli zilipendwa zipo!
Nakumbuk miak ya 91-94 nlikua mtaalam sana wa kuwachokoza mabinti c unajua ujana tena!!

Ila sa mm bhana nlikua sijiamin sana mi binafsi kiasi cha kwamba nkawa natumia mambo yet yale ya jadi kuwanasa warembo wa miak hiyo.....
Si mwingine ni shangaz yangu ndo alkua akinfanyia mambo kijiti flan hv kinachngnwa kweny kibuyu cha, asali kinakaa siku 5 ndan ya kibuyu hiko na kutumika kwake ni kwa warembo watano tu ukizidisha hapo ukitukanwa shaur yako

MAFANIKIO:ebhn kijit cha anti kilikua hakikopeshi yan kitendo cha mm kusema "hujambo binti" fasta tu anajikanyaga mwnyw kuropoka maneno ya ajab ambyo yalkua yananrahisishia njia.
>>NB:hata mama watoto nlie nae alipatikana kwa njia hii.

DUNIA YA UTANDAWAZI
kwasasa sijajua kama vile vijit bdo vnatenda kaz ipasavyo mana saiv naona kabisa NGUVU YA PESA/MPUNGA/MKWANJA ndo inahusika.
(Tangu nioe cjatumia tena).

Piga kazi pata mkwanja opoa warembo wazuri wanaoitaj pesa za kununua vipodoz

Shauryako!!
 
KWA HIYO TUSHIKE LIPI KIJITI AU PESA?BILA SHAKA ULIKUWA DOMO ZEGE MKUU
Hapana sio domo zege, ila sikuitaj muda wa kupoteza mara ooh uje kwa mama akujue kwanza, mara ooh jibu lako wiki mbil zjazo [emoji3][emoji3][emoji3]
Simpo tu
 
KWA HIYO TUSHIKE LIPI KIJITI AU PESA?BILA SHAKA ULIKUWA DOMO ZEGE MKUU
Kwasaiv wataalam wa mamb ya vijiti mvuto wamepotea kbs wapo ila kupatkana [emoji41]shida
Saiv mkwanja unahusika zaid
Kuna kauli inasema "mapenz yapo ulaya, afrika ni biashara tu"
So, nunua bidhaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom