Mabinti warembo humsukuma mwanaume kuwa tajiri

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
936
1,000
Hi JF,

Nimewaza baada ya research za maisha ya kila siku kuwa na mwasi kitoko Cherri yani binti murembo kunachangia mwanaume kuwa tajiri. Wadau hili lina ukweli wowote maana naona kila mtu anatafuta binti mrembo mzuri sana

Karibuni.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,557
2,000
Hi jf nimewaza baada ya research za maisha ya kila siku kuwa na mwasi kitoko Cherri yani bint murembo kunachangia mwanaume kuwa tajiri.

Wadau hili lina ukweli wowote maana naona kila MTU anatafuta bint murembo muzuri sana Karibuni.

Humaliza utajiri
 
nyaggad

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
1,154
2,000
Mkuu,kwanza uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu pili Uzuri wa mwanamke pekee hauwezi kumfanya mwanaume awe tajiri,unatakiwa ujue kinachomfanya Mwanaume anakuwa Tajiri ni Malengo na jitihada zake binafsi,ila wahenga wanasema"katika kila mafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna mwanamke imara" na "Mwanaume mwenye ndoto anahitaji mwanamke mwenye maono" kwa hiyo mwanamke anayeweza kumpa utajiri mwanaume ni lazima awe "Mwanamke imara na Mwenye maono" sio uzuri mkuu!
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,767
2,000
Utajiri hauna uhusiano na wanawake ila umasikini. Sumu haionjwi my son, jitwishwe mizigo ya mjini ndiyo utajua.
 
mr_politicia_rawfed

JF-Expert Member
Sep 20, 2015
313
250
Mkuu,kwanza uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu pili Uzuri wa mwanamke pekee hauwezi kumfanya mwanaume awe tajiri,unatakiwa ujue kinachomfanya Mwanaume anakuwa Tajiri ni Malengo na jitihada zake binafsi,ila wahenga wanasema"katika kila mafanikio ya mwanaume nyuma yake kuna mwanamke imara" na "Mwanaume mwenye ndoto anahitaji mwanamke mwenye maono" kwa hiyo mwanamke anayeweza kumpa utajiri mwanaume ni lazima awe "Mwanamke imara na Mwenye maono" sio uzuri mkuu!
almost 90% of mens are not successful..
but mimi hua na amini kua
behind many unsuccessful mens above 50%, there is a hand of a women too....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom