Habari wanajukwa,
Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 26.Ninafanya biashara ndogo ndogo jijini Dar es Salaam
Ninamiliki nyumba mbili hapa jijini Dar na ninamiliki kijiwe cha biashara...
Habari zenu watanzania wenzangu...
naamini bado tunaendelea kupigana na maisha yetu...
eeeehee bhana..!! Kuna nyumba moja ya kupanga niliwahi kukaa mwaka jana kuna mwana mmoja alikuwa ana Fanya...
Habari za leo?
Jamani nina tatizo. Aliyekuwa mpenzi wangu ambaye ndiye aliniacha kwa kunichoka sasa amepata mwanamke mwingine.
Kupata kwake mwanamke hakuniumizi lakini kinachonishangaza ni tabia...
Heshima kwenu Great Thinkers
Mwenzenu nina jambo linanitatiza siku nyingi nimeshindwa kupata ufumbuzi.
Kwanza kabisa mimi sikulelewa na mama yangu, nilienda kuishi na sister nikiwa na miaka...
wasalaam wanajf wenzangu
Naomba niongee nanyi hili.kuna baadhi yetu tuna kawaida au tabia ya kutegemea ndugu ama kubweteka tu tukiamini lolote likitokea ndugu zako watasaidia, wengine sio jamani...
Katika dunia hii kuna aina mbili za wanawake.
1. Wanawake kwa ajili ya starehe au mapambo: Hawa ni wale ambao kwanza kuolewa huona tabu kama ni utumwa. Pili huwa na idadi ya watoto hasa mmoja na...
wana JF.. najua humu ndani kuna wataalamu wengi wa mahusiano..shida yangu ni hii..Mpenzi wangu hayupo comfortable kufanya mapenzi mchana au wakati taa inawaka.. kifupi tumbo lake sijawahi liona...
Ndugu zangu ipo hivo, naadhi ya ndoa zenye migogoro kuna historia kuwa mwanamke ndiye aliyesaliti kwanza.
Embu tutafute ukweli katika hili. Wewe unasemaje?
Wana JF,
Niliempata haeleweki kabadilika ghafla, hivi nina nini mimi hapa nalia tu, kweli wanaume pasua kichwa.
Nimechoka sasa wacha nitulie tu Mungu ataniletea.
Sitaki mwanaume kuanzia sasa
Ni ukweli usiopingika wala kufichika kuwa baadhi ya wanawake wamekuwa na vitambi sasa.
Wanawake hawa wenye vitambi hivi wamekuwa wakifoka tu wawapo stajini wakati wa kugegedana haki ya nani...
Hi wadau kuna tabia wanandoa na wachumba si nzuri na huvunja uhusiano Kwa haraka.
Bint au mke unakopa nguo,viatu,nk halafu mume au mchumba anakupa pesa ya matuminzi wewe unaficha kufidia madeni...
Kheri ya x mass na mwaka mpya wadau
Tuje katika hoja ya msingi huu ni Utafiti ambao hauna andiko ila una ukweli wake unaweza jichunguza ukabaini
Kumekuwepo na kauli Kibamia, mala mashine, pia...
kuna theory kuwa eti mwanamke akiwa na lips pana eti na K yake ni kubwa hivyo hivyo na akiwa na lips ndogo na K yake ni ndogo pia ......hapa kuna wajuzi wa mambo nadhani tutapata majibu hapahapa
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Kuna maza mmoja niko naye in love sasa huu mwez wa pili lakin kwa mapenz anayonipa nahisi kama niko paradiso...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.I am looking for a cute girl wa kutoka naye hii sikukuu. Vile mi ni mkenya na nipo hapa Dar kikazi......Sa hii likizo ya wiki moja nimepata kwa job...
Habari yenu wakuu?
Ni miezi 6 imepita tangu niingie kwenye mapenzi na huyu binti,kimwonekano ni mrembo wasura na umbo pia ,rangi nyeupe mtoto amebarikiwa ,ndani ya kipind nilichokuwa nae...
Hii kero sasa! Hivi ninyi wanamke na single mams huwa mnajitoa ufahamu kwa muda mkishazalishwa na kutelekezwa au?
Kwa nafasi zao, niliwahi kuwa na wanawake wawili tofauti kipindi cha nyuma na...
Moyo wangu unauma mpaka nahisi kama unataka kutoka kutokana na yaliyonisibu naumia sana jamani usiombwe moyo uwe na jeraha linalouma bila kukoma usiku usingizi sipati chakula hakipiti ni maji tu...
Habar Za Mida Washika Dau
Siku Mbili Tatu Zilizopita Niliyumba Kiuchumi Kabisa Yan Hari Ilikuwa Mbaya Mbaya Kabisa Kiuchum
Nikiwa Maeneo Fran Iv Katikati Ya Jiji Wife Alinipigia Na Kuniambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.