Uko pesa mingi kwa wallet[emoji23]
Anakuja misichana anakomba pesa yote na asubuhi huwezi hata kunywa supu.
Be careful this is Bongo kuna wanawake wezi kinoma noma.
Hapana mkuu, mi nachukuaga wanawake ninaowajua mpaka wanapoishi.Hahahaha mkuu yamekukuta nn ?? [emoji23][emoji23]
nenda sinza makabulini au uwanja wafisiKama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.I am looking for a cute girl wa kutoka naye hii sikukuu. Vile mi ni mkenya na nipo hapa Dar kikazi......Sa hii likizo ya wiki moja nimepata kwa job nataka niitumie vizuri. Hii ni kwa mamanzi wote wa Dar.......Ni PM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hili jamaa ni libongo, pitia michango yake kwenye threads nyingine afu lina matusi balaa Hahahahha.......