Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by data, Jul 2, 2011.

 1. data

  data JF-Expert Member

  #1
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,749
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  wana JF.. najua humu ndani kuna wataalamu wengi wa mahusiano..shida yangu ni hii..Mpenzi wangu hayupo comfortable kufanya mapenzi mchana au wakati taa inawaka.. kifupi tumbo lake sijawahi liona laiv na ikulu ndo sijawahi tia jicho.... anatatizo gani... niemuomba mara nyingi tuwashe taa hataki.. na nikifosi washa taa anavaa track za kulalia .... ndo hamna mechi hapo... anatatizo gani?? wapo wengine wako hivyoooo? mawazo yenu ni very helpfull kwangu. Ni binti...mie ni (Me) naomba niwe specific.

   
 2. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #2
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hajiamini ndio maana!Sema nae kwa sauti ya mahaba umsifie mpaka ajisahau!
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,232
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Usije ukawa umeoa jini bila kujua? Je huyo ni mke au mchumba?
   
 4. data

  data JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,749
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  baby girl.. nimejaribu mara kibao kaa na kitandan huku taa inawaka... napiga nae story nzuuri za mahaba.. nikianaza peleka mkono.. anasema ..zima taa..
   
 5. data

  data JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,749
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  Ni mchumba .. aiseee. natishika sasa
   
 6. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #6
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Vipi ulishawahi kuoga nae(namaanisha kuoga kwa pamoja wote wawili) au labda kuenda nae beach? Huko hali inakuwaje?
   
 7. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #7
  Jul 2, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Heshimu maamuzi yake, wala usimlazimishe. Tafuta lugha laini ambayo itamshawishi kuwa vyovyote atakavyo yeye ni sawa, lakini pia hakuna tatizoiwapo kutakuwa na mwanga. Pia weka mazingira ya kukubaliana na hali yoyote utakayoiona kwake kwani inawezekana akawa amekeketwa na hataki ujue!
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Klorokwini psychological analysis.

  possibilities

  Ana woga wa kizembe: So pengine wewe una sura mbovu na ukiwa katika ile shuhuli unang'aruza mimacho na mimeno unatoa nje, hii inamtisha na kumkata stimu, ameonelea bora gizani ili asikuone.

  Mambo ya kiswahili (ushirikina): pengine amefundwa hivyo kwa taratiib maalum za kifamilia

  Mchumi: ameamua kusave bill ya umeme ili mnunue kabajaji.

  Anafeki: Haumfikishi kileleni so anafake na anahisi utamshtukia akifake mchana kweupe (low self confidence)

  Aibu: amekuwa na kufunzwa kuwa ngono ni aibu.

  Extra sex abnormal activities (ambayo pia ni sub heading ya aibu) : ana mambo ya ajabu anafanya wakati wa kungonoka na hataki wewe uyaone na hayakubaliki kijamii na kimaadili.

  Post litakuwa refu acha niishie hapa.
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  salute mkuu...nadhani ya uchumi ina sound zaidi!
   
 10. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #10
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na mwanga wa mchana nao analipia?!
   
 11. data

  data JF-Expert Member

  #11
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,749
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  sijawaza kuomba nioge nae.. sidhani kama atakubali
   
 12. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #12
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa mapenzi gani hayo ambayo hujawahi kuwaza kuoga na kuogeshana na mwenzio?!
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Jul 2, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  wa usiku wahusika zaidi kwani utaongeza billwa mchana nadhani anawaonea imani watumiaji wa solar...asiwapunguzie nguvu.halafu game raha yake usiku mkuu.mchana kazi.
   
 14. data

  data JF-Expert Member

  #14
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,749
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  huna msaada kwangu.. klorokwin... styupidii
   
 15. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #15
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kumbe huna uhakika na unachokisema!!Haya wenye shida kakusikia natumaini kasaidika‘
   
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe mkuu nyinyi sio "wapenzi " nyinyi ni "waheshimiwa" , siku utakayoweza kutafautisha haya maneno mawili ndio siku utajua nini cha kufanya.
   
 17. BabyGal

  BabyGal Senior Member

  #17
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 189
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aiseee!Inawezekana anafanya hivyo kwasababu ya upeo wako mdogo!Ungekua nao mkubwa ungeweza kuona point za maana alizoonyesha huyo Klorokwini au hata kama hazikupendezi (maana unaonekana unataka visemwe vitu vya kumsifia huyo mpenzio) ungenyamaza tu badala ya kuanza kumwaga maneno yasiyo na staha kwa mtu aliyejisumbua kukusaidia mawazo!
   
 18. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Dah! hakyanani hiyo ndio nickname yangu hapa kitaani, sjui uliijuwaje? Kijana una machale aisee.
  Wewe kweli ni great thinka, Nimekukubali.
  enhee tuendelee
   
 19. Jigsaw

  Jigsaw JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 1,817
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Unataka raha au unataka kuona ? watu wengine bwana.... Subiri akipata mimba siku ya kujifungua uende nae Labour ward watakuonyesha vizuri..!
   
 20. data

  data JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,749
  Likes Received: 6,524
  Trophy Points: 280
  ulianza vizuri kweli..baby girl.. sasa wapoteza muelekeo
   
Loading...