Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Napataga tabu Sanaa Kahusu mwanamke mzuri niyupi naombeni mnisaidie
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kwa mda mrefu nimejaribu kuchunguza hili jambo kwa watu wengi sana nimegundua kuwa wanajeshi wapo mstari wa mbele sana kusaidia ndugu zao kimaisha na hata kuwasomesha wadogo zao au watoto wa ndugu...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Kama heading inavyojieleza nina binamu yangu jinsia ke ni 28 years, kagraduate chuo mwaka 2012 ni mwajiriwa sasa. Katika pitapita zangu megundua anatembea na mtoto wa family friend bad enough yeye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo fulani, huyu mwanamke mara nyingi amekuwa akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa, simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote...
4 Reactions
76 Replies
6K Views
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara sababu kubwa inayopelekea mtu kumsaliti mpenziwe ni nini haswa. Ni tamaa ya fedha, mambo ya kuiga mashoga na marafiki au ni hulka? Unaweza kujitahidi ukampatia...
2 Reactions
22 Replies
12K Views
Za usiku. Naomba nisiwachoshe sana,kuna kaka tuseme nilikuwa kwenye mahusiano nae kama kuelekea miezi 3 i think coz am not sure na miezi precisely ni mingapi. Kiukweli ninampenda i can't deny my...
9 Reactions
164 Replies
14K Views
Habari wanabodi. Mimi ni kijana wa miaka 26 Mwenye Elimu kwa Ngazi ya Degree, Ndio Kwanza nipo kwenye ajira yangu ya pili. Najitokeza kutafuta msichana kwa ajili ya uchumba ili tuje kuoana...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
kuna mwanamke nimekutana nae yapata miezi miwili sasa.nilikua na malengo nae ya kuishi kwakua ni mwajiliwa na kwao sio mbaya sana.tatizo lililonishinda mpaka sasa hivi sipokei simu wala kujibu sms...
6 Reactions
82 Replies
6K Views
Hapo vip! Huku kwetu Arusha tumezoea kuwaona wazungu wakiolewa Sana na wamasai ukilinganisha na makabila mengine. Unawezakuta msichana mrembo sana wa kizungu ameolewa na mmasai. Sasa wadau...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari za jion wadau, nimeona nilete hapa hili tukio mana najua lazima msaada utapatikana, iko hivi kuna rafiki yangu ana mtu wake (mchumba wake) kwa maelezo anadai kuwa anampenda sana kwani...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Alikuja pale kazini kama mteja, lakini hilo jicho, mwenzangu mpaka niliogopa, maana jicho lake liliniganda mpaka nikaona aibu, hata hivyo alipomaliza shughuli zake aliondoka na kuahidi kurudi eti...
8 Reactions
63 Replies
9K Views
Kama kichwa kinavyoonesha mimi nimesalitiwa na mume wangu ila alifika kuniambia mwenyewe kwamba anaomba radhi amenisaliti ananipenda sana hakutaka kukaa na icho kitu moyoni mwake tunaixh mbali mbali.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hicho cheti ni karatasi Tu Chenye Nembo ya Taifa ili kukutambulisha kisheria kama wewe ni Mke wa Mtu. Shetani hakiogopi wala wanawake wa Nje hawakiogopi. Na hizo Pete ni kama urembo vidoleni...
34 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu heshima kwenu. Miaka ya juzijuzi nilizaa na binti Fulani akiwa bado yupo chuo, muda wa kujifungua ulipofika baada ya mwezi mmoja nilimchukua mtoto kwa kuwa alikua na mitihani (UE), mtoto...
5 Reactions
77 Replies
5K Views
Habari wadau? Katika pita pita zangu nimefanya utafiti usio rasmi na kugundua asilimia kubwa ya wadada wengi wenye shepu nzuri wana sura mbaya contrary kabisa na shepu zao...vipi wewe huko uliko...
6 Reactions
77 Replies
28K Views
Nimekaa nikatafakari kwa kina baada ya kuona wenzangu waliotangulia kimaisha wakifanikia hasa walipopoata Wanawake wa kizungu nikaamua nami niungane nao huko huko. Kwanza niweke wazi tu kuwa sina...
0 Reactions
39 Replies
20K Views
Naomba umtag yule umpendaye ili ajijue au akujue Mod unisaidie kurekebisha kichwa hapo juu
1 Reactions
115 Replies
9K Views
habari wakuu! kutokana na changamoto za mahusiano ya mapenzi siku hizi,nimedhamiria kuoa kwa mkataba,natafuta mwanamke ambae yuko tayari kuolewa kwa mkataba,tunaenda kufunga ndoa Mahakamani...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wandugu nilikuwa namgegeda mke wang mida ya saa nane hiv sasa tumeenda kama raundi saba c tukamaliza,mmh sasa c gafla kapitiwa na ucngizi hata cjui umetokea wap nimeamsha weee nimetumia kama saa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom