Dhana hii ni ya kweli?!!

yorkshire

JF-Expert Member
Sep 9, 2016
2,444
2,956
kuna theory kuwa eti mwanamke akiwa na lips pana eti na K yake ni kubwa hivyo hivyo na akiwa na lips ndogo na K yake ni ndogo pia ......hapa kuna wajuzi wa mambo nadhani tutapata majibu hapahapa
 
Hiyo pana kuna mamihogo ya kuenea

Na ndogo pia Vipo vibamia shida ni pale unapoingia kusipo pako ndo mnaanza kutupigia makelele
ndugu kuna uhusiano kati ya mdomo mdogo kuwa qouma ndogo na mdomo mkubwa kuwa na qouma kubwa?!!
 
mi nimesoma kitabu kimoja cha taoist,kinasema hivyo,kinasema unaweza mpenda demu kwa jicho lake ila lips ndio zita determine unaishi nae kwa muda gani,wanasema demu mwenye lips ndogo anajua tuu kupokea mapenzi ila hajuia kutoa mapenzi,pia wanasema demu au men mwenye nyusi nyingi huwa hot sana kitandani,yaani wanasema kuna baadhi ya maumbile ya nje yana reflect maumbile ya ndani kama figo,moyo nk so kuna maumbile ya nje ukiyafanyia massage mfano basi utakuwa automatically unaufanyia moyo,au mapafu nk,wanasema demu mwenye vidole vidogo basi na papuchi yake na shimo kwa ujumla vitakuwa ni vidogo
 
Kapeace Mzalendo, nilitaka nianzishe uzi wa kukutafta humu, au ndo skukuu umeenda kwa kina le mutuz!
 
mi nimesoma kitabu kimoja cha taoist,kinasema hivyo,kinasema unaweza mpenda demu kwa jicho lake ila lips ndio zita determine unaishi nae kwa muda gani,wanasema demu mwenye lips ndogo anajua tuu kupokea mapenzi ila hajuia kutoa mapenzi,pia wanasema demu au men mwenye nyusi nyingi huwa hot sana kitandani,yaani wanasema kuna baadhi ya maumbile ya nje yana reflect maumbile ya ndani kama figo,moyo nk so kuna maumbile ya nje ukiyafanyia massage mfano basi utakuwa automatically unaufanyia moyo,au mapafu nk,wanasema demu mwenye vidole vidogo basi na papuchi yake na shimo kwa ujumla vitakuwa ni vidogo
ahaa kwa hiyo sasa hivi tuwe tunaangalia vidole na lips ili tujue kabisa kama tunaenda kupotelea bwawani au tunaenda kumpasua binti wa watu
 
Maneno yako sijui ni kweli! Sasa MTU atajuaje kama ana kibamia au ana hogo? Maana ninavyojua k iwe kubwa au ndogo ni ujuzi tu wa mwanaume kuweza kumudu. Maana kila umbile lina raha yake ati.
Nimejibu kutokana na mtoa mada km maumbile yetu yanajionyesha kupitia lips pana na ndogo, basi ni rahisi kujua mahala pako

Kila shimo lina utamu wake ni kweli lkn Maji ya kisima cha chemchem ni matamu kuliko ya ziwani bwawani au baharini
 
Maujuzi maujuzi haya. Sante sana
 
Back
Top Bottom