Wahenga husema ujana maji ya moto, japo sijui kuni na sufuria ni nini na nini kati ya uzee na utoto.
Mwaka 2007 tarehe kama ya leo, mida ya saa kumi na moja nikiwa natoka kwa "mchomeshaji" kupata...
Heri ya xmass wapendwa husika na kichwa cha habar hpo juu .mi nakumbuka mwaka Jana kila nikitongoza nakataliwa mpaka nikasema mimi nitakufa kivyAngu...na wewe je??
Habar ya jion wana JF polen na mapambano ya mikazo ya vyuma, bila kupoteza muda naenda moja kwa moja kwenye mada pamoja na kutoa shukran zangu za dhat juu ya ushaur wenu mlionipatia katika uzi...
Habari za jmosi ya leo tarehe 23 wandugu
Kuna dada anamahipsi na chura wa haja halafu kiuno chembamba sana nimekutana naye sasa hv mbaya zaidi kavaa dela halafu linaonyesha ndani na chupi hana...
Habari?
Katika pita pita zangu nimefanya kautafiti na kugundua kuwa wanaume wengi wafupi wanapenda kuwa na nywele ndefu..sababu kubwa ikiwa ni kuongezea kidogo urefu(wanaamini hivyo)..kama huamini...
Sisi wanaume tusio na pesa tumekuwa tukinyanyasika sana hapa mjini, tumekuwa tukinyanyapaliwa sana na wadada wazuri na hasa wenye makalio makubwa.
Wanawake hawa wanatutenga kwakuwa tunaishi...
Kila mwanaume mwenye kuoa pamoja na wale waliokwisha kuwa na wake wana-stands zao juu ya mke ni nani kwao. Ifahamike kila mwanamme kabla ya kuoa ana taswira ya mke amtakaye kichwani. Wanawake...
Si watoto wote wa wafugaji lakini wengi wao hufanya mapenzi na kuku na hasa kuku wale wanaoatamia mayai kwani huwa ni rahisi kuwakamata na kubaka kuku hao.
Ikumbukwe kuwa ni kosa kisheria...
Hiki kisa ni cha kweli kabisa, nimejaribu kusummarize sana baada ya kuandika mambo mengi na kugundua nitawachosha wadau humu.
Mwanaume anafanya kazi nzuri, anapokea mshahara mzuri, mlitoka kwenye...
Wakuu,
Kama umeweza kuona uzi huu bila shaka uko mzima wa afya, ila kama una changamoto kidogo za maisha Mungu akufanyie wepesi.
To the point, Nmekua na mahusiano na bint flani mwezi wa tatu...
Habari wakuu!
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,ningependa kujua hii hali inayonitokea ni ugonjwa au hali ya kawaida,wakuu yani Tangu ni meanza mahusiano kila ninapokutana na wanawake...
Hapo vip!!
Mimi nikimtongoza msichana au mwanamke then akaniambia anamtoto huwa kuna namna fulani stim zinakata.
Huwa naona kama yule mtoto ameshatoka na utamu wote, so kikigundua ameshazaa...
Heshima kwenu wote mliopita kwenye huu uzi. Bila kupoteza muda twende kwenye maswali ya msingi ambayo ni
Jina gani huwa unamuita mpenzi wako mkiwa pamoja?
Majina yepi huwa unayatumia...
Huu ni utafiti wangu binafsi na ni maoni yangu baada ya kuchunguza kwa muda mrefu nimekuja kugundua kwamba haya yanayoitwa mapenzi TZ yetu ni ya upande mmoja tu, yaani Mwanaume ndo anampenda...
Habari wakuu, hii huwa inatokea sana pale unapokutana na mrembo matata kwenye kituo cha daladala au ndani ya daladala, unaweza panda daladala ambalo hata kukupanga kulipanda au ukapitiliza kitu...
Kumekuwa na vijana wenyewe wanajiita vi Ben 10 kutwa kujisifu kuwa wake za watu watamu.
Ikiwa na maana wake za watu mnachepuka sana kama si kidogo.
Sasa basi ebu toeni aibu tuambieni ukweli...
Hee! Jamani!
Ni hivi nilikuwa na bae wangu ambaye kuanzia leo namuita mshamba, tulipendana na kuahidi kuoana. Tulikuwa tunaenda vizuri tu.
Sasa jana nilibadilisha profile picture kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.