Nilichogundua kwa wanawake

Nilichogundua kwa wanawake

madia madia

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
717
Reaction score
703
Katika dunia hii kuna aina mbili za wanawake.

1. Wanawake kwa ajili ya starehe au mapambo: Hawa ni wale ambao kwanza kuolewa huona tabu kama ni utumwa. Pili huwa na idadi ya watoto hasa mmoja na huweza kumtafuta MTU na akamzalisha basi. Hawa hupenda tu kustarehe au kula bata na kuonekana. Mengine ongezea....

2. Wanawake kwa ajili ya maisha na familia. Hawa huwaza zaidi kuolewa na kupata watoto na wako tayari kulea mume na watoto. Ni wanyenyekevu na ni wavumilivu kwenye swala zima la maisha hata kama wakifikia hatua ya kutokuelewana na waume zao. Mengine ongezea..

Je kuna kundi lingine? We una date mwanamke wa namna gani? Ana dalili za Kujenga maisha au ni kukupiga mizinga na kwenda kula bata?....
 
Description zinaendelea,ni kweli kabisa Mkuu
 
Wanaume pia tumegawanyika, tunaofiti kuwachukua kundi la pili na wanaofiti kundi la kwanza.
 
Back
Top Bottom