UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Hi wadau kuna tabia wanandoa na wachumba si nzuri na huvunja uhusiano Kwa haraka.
Bint au mke unakopa nguo,viatu,nk halafu mume au mchumba anakupa pesa ya matuminzi wewe unaficha kufidia madeni utakula vitasa[emoji109] [emoji109] [emoji109]
Badala uwe mpole mjuzi unakuwa kiburi eti umenunua cheni hereni bila ya makubaliano unawaka kama kifuu[emoji35] [emoji35] utakula za chembe
Nawashauri kaeni mjadiliane mfikie makubaliano ya kununua brash la masaji mdumishe pingu za maisha.Nasema na nyie mlio ahidiwa kuolewa mpaka sasa ziii na mliopo kwenye ndoa bila heshima karibuni wachangiaji wenzangu.