Hili ni tatizo la wanawake...!!

Hili ni tatizo la wanawake...!!

goldie ink

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
5,634
Reaction score
9,156
Habari zenu watanzania wenzangu...

naamini bado tunaendelea kupigana na maisha yetu...

eeeehee bhana..!! Kuna nyumba moja ya kupanga niliwahi kukaa mwaka jana kuna mwana mmoja alikuwa ana Fanya kazi sekta binafsi na kidogo kipato chake kilikuwa kina lipa kimtindo, ghetto la mwana kila wikiendi jumamosi na jumapili alikuwa anavuta watoto / manzi tofauti tofauti asubuhi anaingia huyu jioni saa 11 chombo kingine kimevutwa kesho yake tena mtindo ule ule eeenhee bhana mwana alikuwa anawanyoosha ile ile sasa kibaya kina kuja hwa wapangaji wengine ambao walikuwa ni wanawake wakaanza kufoka aaarrrgh huyu kaka nuksi anafanya umalaya sasa kwani akileta wanawake golini kwake / ghetto kuna ubaya gani..... ?? Wakati kodi anatoa yeye na kuwaka iwe kwa hawa mademu sasa tatizo ni nini .... ?? Ni wivu au vipi ....??

Bado nashindwa kuelewa hawa wanawake yaani papa atoe mwingine kulalamika ulalamike wewe hahahaaaaa...!! Wanawake sio wa mchezo mchezo au walitaka kutoa pap kwa mchizi...!! Ukiwa uliza mbona wanawasha moto kuhusu mchizi utasikia / huyu kaka ni malaya kila kukicha anaingiza wanawake / sasa tatizo ni nini .....??

[emoji1] [emoji2] [emoji2] WANAWAKE BHANAAA !!! AKILI ZENU MNAZIJUA WENYEWE.
 
Mimi nyumba ya udongo sihimili vishindo kbs na kibamia hiki tajiadhiri bure siwapend kisa wivu wao wa kihenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atavuna mazao zaidi ya alichopanda. Endelea kumsifia tu.

Nawe, endelea kuchekelea tu. Siku akianza kuvuna naamini hutakuja na nguvu ya mrejesho.
 
Inawezekana tatizo siyo hao wanawake anaowabadilisha kila siku...

Inawezekana hana mahusiano mazuri na wapangaji wenzake...

cc: mahondaw
 
Wabongo tulishashindwa ile hali ya kufuatilia mambo yetu binafsi yanayotuhusu,, kuanzia mleta mada na hao wadada majirani FANYENI yanayowahusu .

Pia pambaneni na hali yenu.
 
Wanashangaza maana jamaa anatendea haki kifanyio chake
 
Aisee... Hizo karaha za kawaida kwenye upangaji. Aendelee kama mwenye nyumba hata kelele.
 
Atavuna mazao zaidi ya alichopanda. Endelea kumsifia tu.

Nawe, endelea kuchekelea tu. Siku akianza kuvuna naamini hutakuja na nguvu ya mrejesho.
[emoji2] [emoji1] [emoji1]
Kumbe na wewe una wivu wa kike sasa mimi nimemsifia mshikaji au nimeuliza kwanini wanawake wana maindi akiona mwenzao wanat.ombwa na mshikaji......??
 
Wabongo tulishashindwa ile hali ya kufuatilia mambo yetu binafsi yanayotuhusu,, kuanzia mleta mada na hao wadada majirani FANYENI yanayowahusu .

Pia pambaneni na hali yenu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Basi na wewe acha kufuatilia jamii forum,
 
Nyumba za kushea kawaida sanaaa,,, maneno maneno hayakosi

Mahondaw wa Smart911
[emoji12]
Eeenheee bhana ila wamezidi aisee ila kweli ndiyo maana nimehama bora ukapanga nyumba ambayo unakaa mwenyewe jirani mpaka umuone au umsikie ni ngumu...
 
Achaa kutuzingua we unajiongelea harafu unazuga mchizi,ili tukwambieaje labdaa
 
Utakuwa huwapi dozi wao we daily visu vipya sasa kwa nini wasichukie au wasione wivu...vitu wanavosikia ndani itakiwa adimu kwao
 
Back
Top Bottom