ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,458
- 4,793
Habari wanajukwa,
Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 26.Ninafanya biashara ndogo ndogo jijini Dar es Salaam
Ninamiliki nyumba mbili hapa jijini Dar na ninamiliki kijiwe cha biashara kinachoniingizia faida ya kati ya Shilingi 140,000 na 300,000 kwa wiki.
Kwa sababu ya mazingira ya kazi na majukumu mengi nimekuwa na bahati mbaya ya kutokupata fursa ya kukutana na mabinti wanaofaa kuoa.
Elimu yangu ni ya Darasa la Saba
Natafuta MKE wa kuoa awe na angalau elimu ya darasa la saba ila kama anaelimu kubwa basi awe katika fani ama za ualimu,uuguzi au udaktari.
Binti ninayetaka kumuoa asiwe mlevi,awe wa makabila kati yafuatayo,Mchaga,Mpare,Mmeru makabila mengine itategemea vigezo na masharti.
Awe na umri wa kati ya miaka 19 hadi 22 sio lazima awe na kazi ila awe tayari kujishughulisha na biashara ndogondogo.
Awe na urefu wa kati ya cm 150 hadi cm 172 awe na umbo zuri la wastani linaloendana na kimo chake,Awe mkristo mkatoliki ila akiwa na dini tofauti itategemea vigezo na masharti.
Tutakaa uchumba kwa muda na kisha atanitambulisha kwao na tutafunga ndoa ndani ya kipindi cha mwaka mmoja.Rangi ya ngozi iwe natural na asiwe mtumiaji wa make up akiwa wa maji ya kunde itapendeza zaidi.
Kumbuka mimi ninayeandika tangazo hili sio muoaji ila nitakupangia blind date na muoji ili muone kama kuna Chemistry kati yenu.Blind dates zitafanyika katika maeneo ya wazi na yenye usalama kwa binti
Kwa maelezo zaidi wasiliana na tanzaniandating@gmail.com.Tafadhali Hakikisha uko Dar es Salaam na Utume Picha Yako na Namba yako ya simu.Iwapo unahofia usalama wako unaweza kuja na mtu unayemuamini wakati wa kufanya dating.
Kumbuka haturuhusu,UKAHABA,Biashara ya Ngono au Ngono zembe wala hautalipwa wakati wa Blind Date.Kwa wanaume wanaohitaji huduma hii mnaweza kuwasiliana nasi kwa email yetu
TANZANIANDATING@GMAIL.COM