Wasalaam wote,
Nilikaa nikawaza nikasema ni bora tujuzane kipi kuzuri chakumfanyia mpenzi wako aone raha .?
kwa maana sisi wanawake tunalazimika siku hizi kusema wanaume hawafurahishi wapenzi wao...
Habari wakuu,
Kama kichwa tajwa hapo juu kinavyoelekeza,
Wakuu nina miaka mitano sasa sina girlfriend nipo alone na ni baada ya kukutana na changamoto za mahusiano nikaamua kuachana na hayo...
Siku za nyuma hapo nimeshuhudia mchezo ambao kwangu naona kama kituko hivi!
Mwanaume kutokwa na michozi baada ya kutoswa na demu eti kisa umesolola sana ni upumba.vu sana
Mjamaa kwa muonekano...
Weekend hii nilikutana na mrembo moja hivi huyu mrembo tumekuwa tunawasiliana kwa wiki kadhaa, kwahio weekend hii tukatoka out baada ya mtoko ikabidi nimrudishe kwake Mbezi beach, anakaa kwenye...
Habari zenu wakuu...
Kuna jambo limekua likinitatiza sana kichwani kwangu. Huwa nakaa nafikiria nadharia mbalimbali za watu juu ya sifa za mwanamke wa kuoa au mwanaume wa kuolewa nae lkn huwa...
Ni mschana aliyeokoka, nilimpenda sana na nimemzidi kwa miaka saba, ni mwanafunzi wa chuo fulani, na nilikuwa na malengo nae.
Nilimpa kila alichohitaji kutoka kwagu, na alinipa sharti moja kuwa...
Wakuu najua mko fit sana,
Embu tuache hizi bana, tunalalamika sana mazee, mara vizinga mara mabwawa mara makorongo! Dah hadi kchefuchefu yaani.
Hawa nyoka wetu wanahitaji unga ili waendelee...
Mimi ninampenzi wangu nimedumu nae katika mahusiano ya Girlfriend and boyfriend zaidi ya Miaka mitano.Kwasasa mimi nimeokoka nimempokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.But yeye...
Bwana Yesu asifiwe,
Niweke wazi na nimtumbue jipu shetani.
Ndoa inapofungwa kanisani Mungu huwa anawaunganisha katika ulimwengu wa kiroho na kuwa mwili mmoja kisha anaachilia baraka.
Sasa...
Ndugu wana MMU,
Maamuzi mengine hayafai kwenye mahusiano ya ndoa.
Jirani yangu yapata week mbili sasa mke wake kamkimbia tena pasipo kuacha taarifa zozote kuwa anaelekea wapi.
Mwanamke...
Habari za leo wana JF, naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema.
Sifa za mchumba ni:
1) Mkristo lakini asiwe wa jina, awe mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu...
Habarini Wadau,
Mods sina lengo la kukashifu imani/dini ya watu bali kukemea na kurekebisha.
Eti wanasema "Uchungaji au Uinjilisti ni Kipawa/Karama" hivyo haina haja ya kusomea miaka kadhaa...
Habari zenu wanaMMU,
Jioni ya leo ningependa tuweze kushiriki katika mada twajwa "Ulokole". Umekuwa ni mwiba kwa baadhi ya ndoa pia ulokole umeweza kuzisaidia ndoa nyingi. Mimi haswa...
Jamani nilimpenda sana mume wangu, niliijali familia yangu,nilijitahidi kufanya majukumu yangu kama mke na mama kwa furaha kwa ajili ya familia yangu, naheshimu ndoa yangu, niliwachukia watu...
Habari za muda huu wakuu
Kuna dada ambaye ni rafiki wa karibu wa my sister,ni mrembo kiasi chake, ana kipato kizuri tu na ni mlokole pia.
Aliolewa na mwanaume ambae naye pia yupo vzr kiuchumi na...
Kwa kawaida, pale inapotokea unajisikia mpweke na unahitaji mtu wa kukupa company na faraja ili urejee katika hali ya kawaida utashangaa hakuna huo msaada na kila unayejaribu kumsogelea anakuwa...
Msaada jamani demu wangu hajui mapenzi hasa tuwapo kitandani yaani hajui afanye nini kwan hadi nimuulekeze mimi na hadi nikitaka kumla denda hajui tu kama atakiwa kutoa ulimi bali yeye analeta...
katika mapenzi hakuna kitu ninachokiamini kama willingness. na hii ilinisababishia binafsi niwe mtu ambaye sipendi kutumia nguvu ya ziada kuvukuzia mwanamke. why? kama ananipenda tukionana leo...
Habari za jioni Great Thinkers.
Huu unaweza kuwa si wakati sahihi kwangu kuandika kuhusu jambo hili, ila kwa sababu ya tafsiri hasi miongoni mwetu sina budi kulizumgumzia.
Uhaba wa wanaume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.