Rungu linapenda uaminifu, halipendi kuchangia kosheo na lina wivu hatari!

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Wakuu najua mko fit sana,

Embu tuache hizi bana, tunalalamika sana mazee, mara vizinga mara mabwawa mara makorongo! Dah hadi kchefuchefu yaani.

Hawa nyoka wetu wanahitaji unga ili waendelee kurutubika na hilo halina ubishi rungu lazima lisuuzwe, kinachonishangaza ni pale mwanaume anapotaka free service ya rungu lake, visingizio vinaongezeka mno siku hizi.

Rungu langu linapenda uaminifu, halipendi kuchangia kosheo na mtu lina wivu hatari! Linataka kusafishwa mahali pasafi pia pawe pananukianukia hivi, halipendi harufu za jasho huwa zinapunguza mzuka wa kusuuza, na ile shughuli siyo lelemama msuuzaji kama hajashiba haiwezi, na mastaili fulani ya kuzunguka juu chini kushoto kulia yanahitaji nishati hapo rungu linatoka jeupee! Jipya.

Sasa huduma yote hiyo unaitaka burebure tu, hela ya bajaji hutaki kutoa, perfume hununui, sabuni hutoi, supu hutoi tchaaa! Unataka nini sasa msuuzaji akitulia kama anasoma gazeti usilalamike na ukisikia anasuuza na rungu lingine meza pini tu.

Kama unataka uwe incharge/superior wa ile kikombe kubali gharama za matengenezo bana.

Washikaji tuache hizo.
 
Kwa hiyo papuchi ni biashara?




Kama ana uwezo wa kujimudu basics kuna shida gani usipotoa?



Kama malipo ni lazima basi sio mbaya, bora twende kona bar unalipa unapewa huduma husumbuliwi hadi utake tena huduma.
 
kama sigharamii ili mradi mi napewa hainihusu kama atatulia kama gogo au atawapa na wengine.
 
Back
Top Bottom