Ni mschana aliyeokoka, nilimpenda sana na nimemzidi kwa miaka saba, ni mwanafunzi wa chuo fulani, na nilikuwa na malengo nae.
Nilimpa kila alichohitaji kutoka kwagu, na alinipa sharti moja kuwa kama niko tayari kuwa nae tusifanye mapenzi mpaka tutakapofunga ndoa, nilimkubalia.
Hivyo sikupenda kuchezea nafasi nilijitahidi sana kujiheshimu na kuwa mwaminifu toka tulipoingia kwenye mahusiano miezi mitatu sasa.
Cha ajabu amenipigia simu akanieleza ameoneshwa kwenye ulimwengu wa kiroho kuwa mimi sio mwaminifu kwake ,ila sio kweli, akaamua kuniacha kwa kigezo hicho.
Naomba ushauri kwenu nifanyaje? Nimejaribu kutumia kila namna hataki kunielewa, kibaya zaidi nimempenda sana na kwetu nimeshamtambulisha.