Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara nyingi wazazi tunakuwa na mvunjiko wa moyo pale Watoto wasipofanya yale tuliyoyategemea kutoka kwao. Labda ni kwakuwa hatuweki wazi tunayoyategemea kutoka kwa watoto wetu. Mtoto anaamka...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Bila shaka m-salama sana! Kuna aina nyingi za kuelezea Usaliti/Uongo katika mahusiano,lakini zadi ni kitendo na hiali kinachofanywa na mtu mwenye lengo na nia ya kupata au kujifaidisha au...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu nimeamua kuandika huu uzi ili nipate kutambua na niweze kumweka wazi huyu ndugu yangu Niko na ndugu yangu he is 20 years old lakini hakuwahi kushiriki katika mahusiano ya...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Wengi wetu tulianza ku date A-level, Mkaka mlikutana kwenye school disco au kwenye train mkiwa mnarudi shule. Enzi zile hakuna simu wala internet mawasiliano ilikuwa ni kwa barua. Assembly...
30 Reactions
117 Replies
12K Views
Hivi mf; umezaliwa kibamia ndio ukate tamaa je zamani mbona waliooa na hakukata tamaa? Wana watoto na familia ujue ukiwa na kibamia penda kujua style ambazo kibamia chako kitamfikia muhusika...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Tofauti ya kulala na mdada kwa mara ya kwanza na tofauti ya kulala naye baada ya mwezi au mwaka nini? Kiukweli sielewi naomba mnieleze labda mimi nipo tofauti. Nitashukuru kwa huu msaada nikipata...
2 Reactions
76 Replies
7K Views
Wadau wa JF nawasalimu, Mimi ni kijana mgeni kwenye jukwaa hili, nipo hapa mjini DSM, mpambanaji japo elimu yangu ya kawaida, nimefanikiwa kupata degree moja kwenye mambo ye afya. Umri 26. Back...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Two months ago kuna msichana alikosea number na kunipigia simu. Baada ya maongezi mawili matatu akaanza nirushia shida zake. 1.Nitumie nauli nije kwako. 2.Nitumie zawadi ya mwaka mpya. 3.Sina simu...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
habar wandugu humu mjengoni Bila kupoteza mda niende kwenye point Ni hivi ni mda mrefu sna sjapata mtu wa kumgegeda na ugwadu ukawa mwingi sna mwilin Kama kawaida yetu wanaume nikawa na hunt...
21 Reactions
170 Replies
19K Views
Hapo juzi kati nlipata manzi flani hivii nkampendaa sanaa aisee...huyu manzi anaishi na dada akee sasa baada ya dada ake kuona nipo naee akaamua kumpiga manzi akatoroka akaja getoo... Sasa si ndo...
2 Reactions
57 Replies
3K Views
Ninarafiki wa karibu sana anakaribia kufunga ndoa, sasa ananiweka mimi katika wakati mgumu, kwanza mchango wangu anataka nimchangie laki1 na miaka 3 nyuma nilimkopesha laki 1 hakuurudisha mpaka...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Jamani wana jamii nimejitokeza mbele yenu nami nahitaji mwenza wa maisha ambaye anajitambuwa na kujielewa awe wangu wa maisha na ikimpendeza Mungu ndiye atakayekuwa Mke wangu. Sifa zangu mimi...
4 Reactions
77 Replies
7K Views
"Mke wangu, watu wote wameenda nyumbani kwao , mziki umezimwa, shamrashamra zimeisha. Harusi yetu ilikua nzuri mno ila sasa imepita. Tumemaliza harusi sasa ni muda wa kujenga familia yetu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna katabia kamezuka miaka ya hivi karibuni kwa wanawake wajawazito Wakitanzania (na hata sehemu zingine za Afrika) wakifikia karibu na muda wa kujifungua wanaenda Marekani. Tena wengine utakuta...
4 Reactions
220 Replies
22K Views
Nafikiri zamani watu walikuwa motivated kuoa kwa sababu kuna vitu bila ndoa ulikuwa huwezi kuvipata! Pia kwa Miaka ya nyuma wanawake hawakuwa wanaharakati kiasi cha kutunishiana misuli na mwanaume...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mi nimeowa mke kutoka vijijini Hadi leo nimedumu nae miaka 13 Hajawahi nisonya wala sijui Ugonvi au mapigano yakoje ndani ya ndoa yetu. Poleni mlio owa mijini.
3 Reactions
38 Replies
4K Views
  • Closed
Leo ngoja niseme tu yaliyomo moyoni Mimi ni kijana na kama umri wa miaka 22 mtafutaji mishe mishe za hapa kwa umri wangu bado sijajijenga kiuchumi Nakama mnavyojua tena mapenzi ya sasa bila hela...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari hapa nilipo niko na picha ya mke wangu akiliwa mate na lijamaa na nyingine wakiwa kitandani tena akiwa amelegea. Nimetumiwa na mtu niseyemfahamu kutoka Oman tena ananiambia ni picha za...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
1: KAULI Miongoni mwa mambo ambayo mwanaume hataki kuyasikia yakitoka kwenye kinywa cha mwanamke ni kuambiwa HAWEZI TENDO LA NDOA. Mwanamke akimwambia mwanaume wakati au baada ya tendo kuwa...
5 Reactions
60 Replies
12K Views
Michepuko sio dili hili nalikubali kabisa na wala sio ujanja mana uhuni sio sifa mimi na umri wangu huu miaka 27 natakiwa kuwa na mke ila michepuko imeniandama na wala situmii hela inakuja yenyewe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom